Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKUMBU YA MWL ERNEST MWAMKAI KIONDO


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA BABA WA TAIFA, MWL JK NYERERE (1922 - 1999)

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. APRILI 13, 1922 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa katika Kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). Alikuwa mmojawapo kati ya watoto 26 wa Nyerere Burito, chifu wa kabila la Wazanaki.
Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya baba yake; katika umri wa miaka 12 alianza shule ya msingi akitembea kilomita 30 hadi Musoma. Baada ya...

 

10 years ago

TheCitizen

SPECIAL REPORT: Cancer ordeal fortified Rose Kiondo's faith

>Transfer from hell to heaven: that, put metaphorically, sums up the experience of Ms Rose Kiondo, who has fully recovered from breast cancer after an acutely painful, almost two-year long  ordeal.

 

10 years ago

Vijimambo

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU.Jamaa ana kumbukumbu sana.Na nahisi hapo anamuangalia Lowassa na kukumbuka yote aliyowahi kusema juu yake.Kisha.......
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO

 

10 years ago

Mwananchi

Salamu za Mchungaji Ernest Kadiva

 Ni nadra kukutana na mjumbe wa Bunge la Katiba kutoka Kamati Namba 7, Mchungaji Ernest Kadiva akiwa na wenzake, lakini mjumbe huyu ni mahiri kuwajulia hali ndugu zake hasa wanaoishi Dodoma.

 

10 years ago

Vijimambo

Fellowship na Mwl.Mwakasege NC

Fellowship with Mwl. Mwakasege in NC ! Tunapenda kuwakaribisha kwenye fellowship ambapo Mwl Christopher na Diana Mwakasege watazumgumza . Muda: 4pm. Mahali: Millenium Hotel  2800 Campus Walk Avenue  Durham NC 27705.  Wote Mnakaribishwa !!          

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

IGP ERNEST MANGU NINGENG’ATUKA

Kwako Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu.Ni matumaini yangu kwamba hunifahamu na sitegemei kama kuna mazingira yanayoweza kunikutanisha nawe ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako.Mimi si mtoto wa Mzee Jumbe Mangu na mama Mwanaidi Msengi kama wewe. Sikuzaliwa mwaka 1959 kwenye Kijiji cha Kihunadi, Tarafa ya Ilongero mkoani Singida wala sikusoma Shule ya Sekondari ya Tumaini kama wewe! Mimi ni raia wa kawaida tu, mlala hoi.Nakuhakikishia kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Ernest Mangu ndiye IGP mpya

Ernest ManguRais Jakaya Kikwete jana, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Gospel Seminar with Mwl. Mwakasege

On behalf of Mana Ministries (USA), the DMV organizing committee would like to invite you, your family members and your friends to a Gospel Seminar which will take place from 29th May to 31st May 2015. The guest speaker will be Mwl. Christopher Mwakasege from Mana Ministries Tanzania.

Seminar time: Friday 29th May 17.00hrs to 22.00hrs
Saturday 30th May 08.00hrs to 22.00hrs
Sunday 31st May 08.00hrs to 15.00hrs

Venue

National 4-H...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani