Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA BABA WA TAIFA, MWL JK NYERERE (1922 - 1999)

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. APRILI 13, 1922 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa katika Kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). Alikuwa mmojawapo kati ya watoto 26 wa Nyerere Burito, chifu wa kabila la Wazanaki.
Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya baba yake; katika umri wa miaka 12 alianza shule ya msingi akitembea kilomita 30 hadi Musoma. Baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki. Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake. Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa…

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

11 years ago

Habarileo

Waomba serikali kuweka kumbukumbu maeneo Baba wa Taifa aliyoyatumia

SERIKALI imeombwa kuweka alama au kumbukumbu kwenye maeneo muhimu ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyatumia katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, pamoja na kutimiza azma ya kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambako alika kusalimia familia hiyo na kuzuru kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, leo, katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama, akiwa kaika ziara ya kufanya mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia mtoto wa sita wa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere, Madaraka Nyerere,...

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020







•           Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,•           Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,•           Mkurugenzi wa Uchaguzi,•           Msajili wa Vyama vya Siasa,•           Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,•           Viongozi wa Vyama vya Siasa,•           Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,•           Inspekta Jenerali wa Polisi,•           Kamishna Mkuu wa Uhamiaji•           Watendaji wa Tume,•           Waandishi wa Habari,•           Mabibi na Mabwana
Bwana...

 

9 years ago

Vijimambo

JK AONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MWENGE WA UHURU DODOMA, NA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWAL. JK NYERERE

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa Michezi wa Jamhuri mjini Dodoma leo Oktoba 14, 2015. Kilele hicho cha mbio za Mwenge kimekwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 16 tangu kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa

bnr1

Na Anna Nkinda – Maelezo

 Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.

Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.

Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani