Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


kuna nini Tanzania mwaka huu

Amani na Utilivu imekuwa miongoni mwa sera ya vyama vya siasa hapa Tanzania. Kila mara viongozi wanapopanda majukwaani wanajaribu kwa ghibu kuinadi sera hii. Hadi kwenye ilani za uchaguzi huingizwa suala la Amani na Utulivu bila […]

The post kuna nini Tanzania mwaka huu appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shamsa Ford:Ungetamani Kuniambia Nini Kabla Mwaka Huu Kuisha

Ikiwa zimebaki siku chache kuumaliza mwaka 2014.Muigizaji  wa filamu Shamsa  Ford anaetamba mwaka huu kwenye filamu ya CHAUSIKU, amewataka mashabiki wake na wapenzi wa filamu hapa nchini wamshauri chochote kuhusiana na kazi  zake na maisha yake ya sanaa kwa ujumla.

 Shamsa  ambae ni mama wa mtoto mmoja, aliweka picha yake nakuandika;

“Ni kitu gani ungetamani kuniambia kabla ya huu mwaka KUISHA”

Jina la Shamsa Ford, lilijitokeza sana mwaka huu kwenye magazeti ya udaku na mitandaoni baada ya...

 

5 years ago

CCM Blog

MUFTI MKUU TANZANIA ASEMA HAKUTOKUWA NA HIJJA MWAKA HUU

  Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ametangaza kuwa mwaka huu hakutokuwa na ibada ya hijja hii ni kutokana na kauli iliyotolewa wiki hii na serikali ya Saudi Arabia kutokana na janga la Corona.
Abubakar Zubeir bin Ally ameyasema hayo leo Juni 25, 2020 wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa janga la Corona ndio limesababisha na haitakuwa kwa Tanzania pekee tu bali kwa Dunia nzima isipokuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza

Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza. Wizkid Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo. “Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, […]

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU

 Mchezo wa hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Algeria (The Fox Desert) utafanyika tarehe 14 Novemba, 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA MWAKA HUU TANZANIA HAUNA MDAHALO WA UGOMBEA NAFASI YA RAIS?

Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali kuhusu uchaguzi utakao fanyika tarehe 25 October lakini sijasikia tetesi kama kutakuwa na mdahalo wa ugombea nafasi ya urais. Inawezekana upo lakini mimi sijasikia na kama ni hivyo basi wanaohusika kuuandaa wahabarishe wananchi.

Huu mdahalo unahitajika sana ili tuweze kuwajua vizuri hawa wanaotaka kuwa viongozi wetu. Wagombea wote wa vyama vinavyo shiriki wakutanishwe waulizwe maswali ya msingi (live) tuweze kupima majibu na uwezo wao. Midahalo ni...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kiwanda Cha Filamu Tanzania Kimerudi Nyuma Mwaka Huu-Johari

Muigizaji wa filamu, Johari Chaula amesema kuwa mwaka 2015 haukuwa mzuri kwa wasanii wa filamu.

Johari ameiambia Bongo5 kuwa wasambazaji wa filamu wamezidiwa na kazi zinazozalishwa na wasanii.

“Mwaka huu si mzuri sana kiukweli kwa sababu wasanii wa filamu wamekuwa wengi na tunazalisha sana filamu mpaka wasambazaji wanazishindwa na wao wanasema soko haliko vizuri,” amesema.

“Kwahiyo msanii kama mimi nashindwa kutoa filamu nyingi kutokana na hali hiyo, ni hivyo hivyo haukuwa mzuri sana....

 

11 years ago

Michuzi

MARTIN KADINDA KUITANGAZA TANZANIA KATIKA NCHI ZA KENYA NA ZAMBIA MWAKA HUU


Mshindi wa tuzo za mitindo na mbunifu aliyetamba na mavazi ya single button kwa takribani miaka miwili sasa Martin Kadinda anategemea kuanza ziara ya kuonyesha mavazi yake katika nchi kadhaa  za kiafrica.

Kadinda amesema kuwa kwa mwaka huu amepanga kufanya maonesho yake nje ya nchi kwa sana kwa kuwa huko ndio kunaitangaza nchi na brand yake kwa ujumla.
Show yake ya kwanza kwa mwaka huu itakuwa Nchini Kenya katika Jiji la Nairobi usiku wa tarehe moja akiwa na wabunifu kutoka tanzania na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani