kundi la Mafikizollo kuwasili leo jijini dar
Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City, kesho, Jumamosi Aprili 5 mwaka huu.
Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo mbalimbali za muziki, kutokana na kupiga muziki na kucheza kwa umahiri, hasa mtindo wao maarufu wa Kwaito.
Kundi hilo linaloundwa na wasanii wawili(Nhlanhla Nciza na Tebogo Madingoane pichani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Anne Kansiime kuwasili leo jijini Dar
Mchekeshaji Anne Kansiime (pichani) anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip.
Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, atawasili majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.
Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani...
11 years ago
Bongo531 Jul
Anne Kansiime kuwasili jijini Dar July 31
9 years ago
Habarileo26 Sep
Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo
MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
T.I, Waje, Ash Hamman na Kimani kuwasili leo Dar kwa ajili Tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Baada ya kuzunguka maelfu ya maili, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafunga ziara yake katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam kesho kutwa jumamosi.
Rapa wa kimataifa toka Marekani T.I, pamoja na Waje toka Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya, Victoria Kimani wanatarajiwa kutua leo nchini kwa ajili kuburudisha katika tamasha la Serengeti Fiesta.
T.I toka Marekani, Waje wa Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na Victoria Kimani wa...
11 years ago
MichuziMarehemu Sheila Leo Haule (Rachel) aagwa leo jijini dar
10 years ago
MichuziTASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO
Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...
10 years ago
MichuziSheikh Ali Mzee Comorian azikwa leo kwenye Makaburi ya Wangazija,jijini Dar leo
Mamia ya watu wameshiriki katika mazishi ya Sheikh Ali Mzee Comorian yaliyofanyika leo katika makaburi ya Wangazija yaliyopo katika barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam.
Mazishi hayo yameongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili ,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na kusema kifo cha sheikh huyo ni mipango ya mungu kwa kila mtu safari yake ipo.
Alisema kifo cha sheikh kinatakiwa kuenziwa kwa mema aliyoyafanya katika uhai wake katika kupigania...
10 years ago
GPLSHEIKH ALI MZEE COMORIAN AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA WANGAZIJA, JIJINI DAR LEO