Kuondoka kwa Massawe ni tiba ya mgogoro wa Kagasheki na Dk Amani?
>Kwa wakazi wa Mkoa wa Kagera, hususan mjini Bukoba itawachukua muda mrefukusahau jina la mkuu wa mkoa aliyeondoka, Kanali Fabian Massawe wanapokuwa kwenye mijadala ya kila siku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kagasheki amvaa Pinda mgogoro wa Bukoba
MBUNGE wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa ameshindwa kumchukulia hatua aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, ambaye amegoma kutii maagizo...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Kagasheki, Meya Amani wakwamisha maendeleo
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
CCM wamshtaki Massawe kwa JK
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba,...
11 years ago
Michuzi29 Jul
KAGASHEKI CUP 2014 - KAGONDO FC WATINGA NUSU FAINALI KWA KUIFUNGA IJUGANYONDO KWA MIKWAJU YA PENATI 4-3
Kufungwa kubaya!!! Wachezaji wa Timu ya Ijuganyondo wakitoka Uwanjani wakiwa hawana hamu. Kwa picha zaidi na Faustine Ruta BOFYA HAPA
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani
11 years ago
Michuzi30 Jul
KAGASHEKI CUP 2014: MIEMBENI FC WATINGA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA BAO 2-1 BILELE FC KWA DAKIKA 120!
Mabingwa watetezi wa kombe la KAGASHEKI, Bilele Fc, wamefungwa leo na Timu ya Miembeni Fc bao 2-1 kwenye mtanange uliopigwa dakika 120, dakika 90 za mchezo huo zilimalizika kwa kutoshana nguvu kwa bao 1-1 katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.Timu ya Bilele Fc ndio walianza kupata bao la mkwaju...
9 years ago
Habarileo08 Nov
‘Kuondoka kwa Busungu kumeniumiza’
MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Mgambo JKT inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fuluzulu Maganga, amesema kufifia kwa kiwango chake msimu huu kumetokana na kuondoka kwa pacha wake Malimi Busungu aliyejiunga na Yanga msimu huu.
11 years ago
GPLYanga yabariki kuondoka kwa Niyonzima
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Upinzani washtumu kuondoka kwa Bashir