Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura dhidi ya waziri mkuu yapigwa Somali

Wabunge nchini Somalia wanapiga kura ya kutokuwa na imani dhidi ya waziri mkuu Abdiweli Sheikh Ahmed.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu yapigwa kalenda

Na Miriam Mosses  MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepiga kalenda kutoa uamuzi wa kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda hadi Mei 19 mwaka huu, itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na upande wa Jamhuri.   Uamuzi huo ulipangwa kutolewa jana lakini iliahirishwa mbele ya Msajiri Benedicto Mwingwa baada ya jopo linalosikiliza kesi hiyo kuwa bado halijamaliza kuandika uamuzi huo.   Kesi hiyo inasikilizwa na jopo la majaji waatu likiongozwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Somali atimuliwa

Wabunge wa Somali wameng'oa waziri mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed mamlakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu mpya aidhinishwa Somali

Bunge la Somalia limemuidhinisha waziri mkuu mpya akiwa afisa wa tatu kuhudumu katika wadhfa huo katika kipindi cha miaka miwili.

 

11 years ago

Michuzi

Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu

NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa. 
 Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...

 

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

10 years ago

StarTV

Shutuma dhidi ya serikali yamsikitisha Waziri Mkuu Pinda.

Na Magreth Tengule,

Dodoma.

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda ameeleza kusikitishwa na kauli za baadhi ya watu wanaosema Serikali imetelekeza viwanda vya sukari ili kutoa fursa kwa wafanyabiashara nchini kuagiza nje sukari kwa ajili ya kujinufaisha wao na vigogo kutoka serikalini.

 

Waziri Mkuu ameeleza hayo siku chache tangu kuenea kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa Waziri Pinda amekuwa akiwasaidia baadhi ya wafanyabiashara wa sukari kukwepa kodi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAKA VITA DHIDI YA UJANGILI IWE YA PAMOJA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na zilizo Kusini mwa Ikweta.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jioni (Jumamosi, Novemba 8, 2014) mara baada ya kufunga mkutano wa kikanda wa siku mbili uliojadili mbinu za kupambana na biashara haramu ya wanyamapori ulioandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Arusha,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuhuma nzito bungeni,ni za rushwa dhidi ya Waziri Mkuu Pinda

>Hali ya hewa jana ilichafuka kwenye Bunge la Katiba baada ya mjumbe Ezekiel Wenje kuwatuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda na baadhi ya mawaziri kuwa waliwahonga baadhi ya wajumbe wa kundi la 201

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu wa Sudan aunda tume ya kuchunguza ukandamizaji dhidi ya raia

Waziri Mkuu wa Sudan ametangaza kuwa ameunda tume ya kuchunguza vitendo vya ukandamizaji vilivyofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo Alkhamisi na Ijumaa ya jana.

Akizungumza kwa njia ya televisheni, Abdalla Hamdok amesema kuwa: Nimechukua uamuzi wa kuunda kamati ya uchunguzi kufuatia matukio ya siku mbili zilizopita.

Waziri Mkuu Hamdok amesema kuwa, Mwanasheria Mkuu Taj-Elsir Ali ataongoza kamati hiyo ya uchunguzi ambayo inapaswa kutoa ripoti yake katika kipindi cha siku saba zijazo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani