Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutafuta meneja wakati una single moja ni dalili ya uvivu-AY

AY-TANZANIA

Ambwene Yessayah aka AY amewataka wasanii wachanga kuacha kutafuta watu wa kusimamia muziki wao, bali watengeneze kwanza connection zao wenyewe.

AY-TANZANIA

Rapa huyo mwenye kampuni ya Unity Entertainment ya kusimamia wasanii, amekiambia kipindi cha Mkasi kinachoruka kupitia EATV, kuwa anashangaa kuona msanii ana ‘single’ moja lakini anatafuta meneja wakati alitakiwa kujijenga mwenyewe.

“Sasa hivi mtu hana hata single au ana single moja, hajapata experience ya kutengeneza hit song nne ili kujipima yeye...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uvivu una madhara gani kwa watoto?

Natumaini wajukuu zangu ni wazima wa afya, mkiwa bado baadhi yenu mnaendelea na mfungo wa Ramadhan. Leo wajukuu zangu nina mada nyepesi ambayo naamini inawagusa wengi.Kabla ya kuanza mada yetu ya leo ni vizuri tukafahamu maana ya uvivu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais KIkwete: Uvamia wa polisi una dalili za ugaidi

Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amedokeza kuwa matukio ya watu wasiojulikana kuvamia vituo vya polisi, kupora silaha na kuwashambulia askari kuwa, “yana sifa za ujambazi na mwelekeo wa kigaidi.”

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa taarifa kuwa kuanzia leo tarehe 10 Septemba 2015, na katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi mkuu 2015, watu ambao sio wagombea wa udiwani, ubunge, urais, wasemaji rasmi wa vyama au watu wasioteuliwa na vyama vya siasa kama wawakilishi hawataruhusiwa kushiriki katika vipindi vya moja kwa moja (Live Programmes) vinavyohusu shughuli za uchaguzi vitakavyorushwa na vituo vya utangazaji.


Utaratibu huu unazingatia Kanuni Za Huduma Za...

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea aonesha dalili za kutotaka kufanya collabo na Snoop Dogg, aachia single mpya ‘Beg For It’ (Audio)

Inavyoonekana rapper wa ‘Fancy’ Iggy Azalea licha ya kumsamehe Snoop Dogg, lakini bado kuna kitu ameshikilia moyoni mwake. Rapper huyo wa Australia alipotua uwanja wa ndege wa Los Angeles Alhamisi usiku aliulizwa na paparazzi wa TMZ kama anaweza kuja kufanya collabo na Snoop baada ya beef yao ya hivi karibuni, na jibu la Iggy lilikuwa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjamzito atembea kilometa mia moja kutafuta msaada

pregnant_african_woman-istock_000012169363small

Na Nathaniel Limu

MKULIMA mkazi wa kijiji cha Ighombwe wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Esther Jilala (16),amelazimika kutembea umbali wa kilometa zaidi ya mia moja kutafuta msaada baada ya kuchoka kunyanyaswa na kupigwa kila siku mume wake.

Esther ambaye kwa sasa ana mimba ya miezi mitatu,alitembea umbali huo kwa siku mbili mfululizo.

Imedaiwa siku moja kabla ya kufanya maamuzi magumu ya kutoroka,alipigwa vibaya na mume wake Michael Luhenga, kwa kumutuhumu kuwa aliachia ndama wanyonye...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015 KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI WA TANGAZO LILILOTOLEWA TAREHE 11 SEPTEMBA, 2015
KUHUSU VIPINDI VINAVYORUSHWA MOJA KWA MOJA WAKATI WA
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tangazo lake lililotolewa kwenye vyombo vya habari tarehe 11 Septemba, 2015 kuhusu vipindi vinavyorushwa moja kwa moja wakati wa kampeni za uchaguzi
mkuu.  Ufafanuzi huu unatolewa kutokana na maoni...

 

10 years ago

Vijimambo

"WAKATI MWINGINE USIRI UNA BARAKA ZAIDI.....ALHAMDULILAH' HAYO NDIO MANENO YA DIAMOND KUASHIRIA HARUSI YAKE NA ZARI

 Picha alizotupia Diamond kwenye instagram yake akiwa na Zari huku akiwa ameandika maneno ya mafumbo yasemayo "Wakati mwingine usiri una baraka zaidi kuashiria ndoa yake na Zari picha ambazo ndio gumzo kwa sasa kwenye kila mitandao. Diamond na Zari katika picha.Hiyo ndio habari ya mujini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kutoka Single moja hadi ya Moto Band

“KUKUPENDA imekuwa kero, na kuja kunitenda mwana wa mwenzio, nachofanya mi sikioni ila masikio yanasikia we x 2. Kukupenda nakupenda kweli ahaa sikatai, uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi x...

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAKALA WA FORODHA NCHINI WAASWA KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA HIMAYA MOJA YA FORODHA YA AFRIKA MASHARIKI ( SINGLE CUSTOM TERRITORY )

1 Kamishna wa Forodha Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Tiagi Kabisi akiongea na viongozi wa Chama cha Mawakala wa Forodha na kuwataka mawakala wa Tanzania kujisajili katika mfumo wa uondoshaji wa Himaya moja ya Forodha(SINGLE CUSTUM TERRITORY) ili kuwezesha uondoshwa wa mizigo kwa haraka zaidi pindi mfumo huo utakapoanza kutumika kwani mifumo huo na watanzania tayari zinawasiliana mpaka sasa, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam Kushoto ni Naibu Kamishna wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani