Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutokujua sera, sheria za ardhi huchangia migogoro

MIGOGORO mingi ya ardhi nchini inatokana na ushirikishwaji hafifu wa wananchi katika utungaji wa sera, sheria za ardhi au wakati wa kuifanyia marekebisho. Kauli hiyo ilitolewa na Mwanasheria wa Haki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kuondoa Migogoro Ya Ardhi TPCF yaitaka Serikali kuanzisha sera ya wafugaji

 

Mtandao  unaoshughulika na utetezi wa haki za wafugaji hapa nchini  umeitaka serikali kuwezesha upatikanaji wa sera ya ufugaji wa asili pamoja na kupima  ardhi ya wafugaji  ili kuondoa migogoro ya wafugaji na wakulima.

Aidha mtandao huo umeikumbusha serikali kuwa  kutokutekeleza wajibu na kupelekea haki za binadamu kukiukwa ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.

Akizungumza jijini Arusha katika ofisi za mtandao wa wafugaji Mkurugenzi wa mtandao huo...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AWATAKA WAJUMBE MABARAZA YA KATA MANISPAA YA KINONDONI KUSIMAMIA SHERIA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo akizungumza na wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri hiyo jana wakati wa kikao cha kujadili changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. Wa kwanza kushito ni Katibu Tawala Bi. Stella Msofe.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe. Daniel Chongolo.Wajumbe wa Mabaraza ya Kata ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakiwa kwenye kikao.………………………………………………………………… Wajumbe wa Mabaraza ya Kata Manispaa...

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

5 years ago

Michuzi

Migogoro ya ardhi kaa la Moto,Kufunguliwa ofisi za ardhi mikoani kuleta ahueni

Na Amiri kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe wamelalamikia kuchelewa kusikilizwa kwa Mashauri ya migogoro ya ardhi na kupelekea kuwaathiri kiuchumi wakati wakiendelea kufuatilia mashauri yanayosikilizwa na baraza ya ardhi. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wanaofika katika mabaraza ya ardhi yanayosuluhisha migogoro ya ardhi mkoani Njombe ambapo miongoni mwao akiwemo Remigius Ilomo na Geofrey Msambwa wamezungumzia kero wanayoipata na Kwamba Kumekuwa Kukiwaongezea Gharama kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AFANYA ZIARA MKOANI IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mkoani Iringa. Alisisitiza kuwa Mkoa wa Iringa uharakishe kupima ardhi ya wananchi ili kupunguza migogoro ya ardhi. Sehemu ya umati wa wananchi wa Mkoa wa Iringa wakimsikiliza Waziri Lukuvi aliposikiliza kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo Manispaa ya Iringa.


...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Migogoro ya ardhi itatuliwe haraka’

Serikali imeombwa kutatua haraka mgogoro baina ya kampuni inayojihusisha na uchimbaji dhahabu ya Bismark Hotel na wakazi wa Majimoto wilayani hapa, uliodumu kwa miaka takriban 23 kabla ya kuleta madhara makubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tukomeshe haraka migogoro ya ardhi

Nimekuwa nikiandika kwa kuweka takwimu juu ya migogoro ya ardhi nchini. Niliwahi kusema kuwa kesi zilizopo mahakamani kwa sasa, zaidi ya asilimia 50 zinahusu migogoro ya ardhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro ya ardhi Kisarawe itatuliwe

WAHENGA walisema “okoa jahazi kabla halijazama”, na mimi ndivyo ninavyowataka viongozi wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wakiwamo mkuu wa mkoa, wilaya, mkurugenzi, mbunge na madiwani washikamame kutatua migogoro ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro ya ardhi na athari zake

MIGOGORO ya ardhi imetawala katika maeneo mengi nchini na kusababisha vifo na mali za mamilioni kupotea. Katika kipindi cha mwaka 2013 mwanzoni hadi mwaka huu migogoro ya ardhi imeendelea kufukuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani