KUWA MAKINI NA FARAGHA (PRIVATE SETTINGS) MTANDAONI
Na Kileo YIjumaa 26 – 06 – 2015 nilishiriki katika mjadala ulio jadili uchumi wa kidigitali katika kongamano lililo andaliwa na COSTECH ambapo kwa upande wangu niliangazia uhalifu mtandao unavyoweza kuleta athari kwenye uchumi wetu ukizingatia sasa miamala mingi ya kifedha imekua ikifanywa kwa msaada wa TEHAMA ( Simu, ATM , Mitandao).
Nilitolea ufafanuzi hali halisi kwa sasa na tuendako huku nikitolea mfano uchumi wa taifa lolote unavyoweza kuyumbishwa au kudondoshwa kabisa wa endapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
YkileoKUA MAKINI NA FARAGHA (PRIVATE SETTINGS) MTANDAONI
Nilitolea ufafanuzi hali halisi kwa sasa na tuendako huku nikitolea mfano uchumi wa taifa lolote unavyoweza kuyumbishwa au kudondoshwa kabisa wa endapo wahalifu mtandao...
11 years ago
Habarileo19 Jul
JK ahimiza Takukuru kuwa makini
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini kuhakikisha kuwa kesi za rushwa dhidi ya watu mbalimbali inazozipeleka mahakamani, zinakuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa maana ya washitakiwa kukutwa na makosa.
10 years ago
Habarileo05 Apr
Wananchi wahadharishwa kuwa makini
JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wasomi watakiwa kuwa makini
VIJANA wasomi nchini wametakiwa kutokuwa chambo na kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa kutaka madaraka ya nchi bali wawaepuke hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’
11 years ago
Habarileo10 Feb
Washauriwa kuwa makini matumizi ya pampasi
WATOTO wa kike wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya njia ya mkojo, aleji na hata upele kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya pampasi anayovishwa mtoto kumsitiri anapojisaidia na kubaki nayo kwa muda mrefu.
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Hiddink awataka wachezaji kuwa makini.
10 years ago
Habarileo18 Sep
Bilal ataka waandishi kuwa makini
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal ameitaka vyombo vya habari kujiuliza mambo wanayoweza kuyaweka hadharani kwa kuyaandika au kuyatangaza na yanayofaa kuhifadhiwa kwa sasa nchi inapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAPnCShAO14S0MAcMWSS7C0l4Ar8Hr8B9-OG3C4JBWINrlkBHXDPt0ilWwQ9P5ZD1YBrohP2aP9*ybrowAJ-9*-/Loves.jpg)
KUWA MAKINI KATIKA KUWASHAURI WAPENZI