Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuzama kwa boti kwaua mamia DR Congo

Mamia ya watu wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tisa wahofiwa kuzama ajali ya boti

WAFANYABIASHARA tisa wakazi wa Kijiji cha Mpasa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda nchini Zambia kuzama kwenye eneo la Kipwa. Watu hao walikuwa wakienda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu baada ya boti iliyojaa wahamiaji kuzama Libya

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 700 walikuwa kwenye boti hiyo iliyozama baada ya kukumbana na mawimbi makali karibu Libya

 

11 years ago

Mwananchi

Kutojali lishe kwaua watoto 179,000 kwa mwaka nchini

>Licha ya Serikali kutangaza mara kadhaa kuwa inataka hadi kufikia mwaka 2015 iwe  imepunguza tatizo la utapiamlo  kutoka asilimia 15 ilivyo mpaka asilimia 5, hali ya tatizo hilo bado inaonekana ni mbaya.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto afa kwa kuzama bondeni

KARIM Ramadhan (15), mkazi wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekufa baada ya kuzama kwenye bonde la shamba la mpunga. Mtoto huyo alizama alipokuwa akicheza na wenzake, ambapo alikuwa akijaribu kuvua samaki kwenye bwawa hilo lililopo Magereza. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alithibitisha tukio hilo. Alisema kabla ya kifo hicho, mtoto huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafariki kwa kuzama baharini

Watu watatu mkoani Mtwara wamepoteza maisha kufuatia kuzama kwa mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Bahari ya Hindi kutoka Kitongoji cha Mwale kuja Mtwara Mjini kwa ajili ya shughuli zao za kila siku.

 

10 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA NRA KWA WAKAZI WA MKOA WA KIGOMA KWA AJALI YA BOTI


Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU MKUU WA BODI ya CHAMA CHA UJENZI WA TAIFA, NRA (NATIONAL RECONSTRUCTION ALLIANCE), Mhe HASSAN KISABYA ALMAS, ametoa pole kwa wananchi wa mkoa wa kigoma na Uongozi Mzima wa mkoa kwa msiba mzito uliowapata baada ya watu zaidi ya kumi kupoteza maisha kwa ajali ya boti.Ndugu Kisabya alisema, ajali ni jambo lisilotarajiwa na kuwataka ndugu jamaa na marafiki waliopoteza jamaa zao kuna na uvumilivu...

 

11 years ago

GPL

KUZAMA KWA FERI, WAZIRI MKUU KOREA KUSINI AJIUZULU

Feri ya Sewol ilipokuwa ikizama. Waziri Mkuu nchini Korea Kusini, Chung Hong Won aliyejiuzulu.
WAZIRI Mkuu nchini Korea Kusini, Chung Hong Won amejiuzulu kutokana na vile serikali yake ilivyolichukulia suala la feri iliyozama siku 11 zilizopita. Chung Hong Won amesema kuwa kubaki ofisini ni mzigo…

 

10 years ago

Mwananchi

Usafiri Dar-Bagamoyo sasa kwa boti ya kasi

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam sasa wataanza kusafiri kwa kutumia kivuko cha kisasa kutoka katikati ya jiji hadi Bagamoyo na mikoa mingine badala ya kutumia usafiri wa barabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani