Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tisa wahofiwa kuzama ajali ya boti

WAFANYABIASHARA tisa wakazi wa Kijiji cha Mpasa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda nchini Zambia kuzama kwenye eneo la Kipwa. Watu hao walikuwa wakienda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya

Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuzama kwa boti kwaua mamia DR Congo

Mamia ya watu wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hofu baada ya boti iliyojaa wahamiaji kuzama Libya

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 700 walikuwa kwenye boti hiyo iliyozama baada ya kukumbana na mawimbi makali karibu Libya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali ya boti yahofiwa kuua saba

BOTI ya Kilimanjaro II imekumbwa na dhoruba katika mkondo wa Nungwi ikitokea Pemba kwenda Unguja, na abiria saba wanahofiwa kufa. Dhoruba hiyo ilitokea jana mchana na boti hiyo ilielezwa kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

WATU ZAIDI YA KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA LORI KUPINDUKA WILAYANI LUSHOTO

Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki Dunia eneo la Soni, Lushoto Mkoani Tanga kufuatia ajali ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi kuanguka nakubiringika bondeni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tukio la ajali hiyo iliyotokea Soni,Lushoto mkoani Tanga Baadhi ya mashuhuda wakitazama Lori hilo lililopelekea vifo vya watu zaidi ya kumi baada ya kupinduka na kubiringika bondeni,huko Soni,Lushoto mkoani Tanga

 

9 years ago

Mtanzania

Abiria 300 wa boti wanusurika ajali ya moto

NA MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM

ABIRIA 300 wamenusurika kufa baada ya Boti ya Royal waliyokuwa wakisafiria kutoka Kisiwa cha Unguja kwenda Pemba baada ya boti hiyo mali ya Kampuni ya Ocean Enterprises kuwaka moto  ikiwa baharini.

Tukio hilo lilitokea nyakati za mchana katika eneo la Matumbini wakati ikielekea kuwasili katika Bandari ya Mkoani, Kisiwani Pemba.

Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana kutoka Unguja, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri Zanzibar, Omar Maalim alisema ajali...

 

5 years ago

Michuzi

AJALI YA BOTI KIGOMA TISA WAFARIKI DUNIA

Na Editha Karlo, KigomaWATU tisa wamefariki  baada ya boti la abiria kuzama  katika ziwa Tanganyika.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi MARTIN  OTTIENO amethibitsha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la rasini na kusema kuwa Boti ilo  liitwalo mv Nzeimana linalofanya safari zake kati ya Kijiji cha Sibwesa na ikola  limezama  likiwa abiria sitini ambapo abiria hamsini na moja wameokolewa.
Aidha Kamanda OTTIENO amesema chanzo cha ajali hiyo ni upepo mkali uliosababisha boti hilo...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZZ:AJALI YA BOTI KIGOMA,TISA WAFARIKIKI DUNIA

Na Editha Karlo,Kigoma.
WATU tisa wamefariki  baada ya boti la abiria kuzama  katika ziwa Tanganyika.

Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi MARTIN  OTTIENO amethibitsha kutokea kwa ajali hiyo katika eneo la Rasini na kusema kuwa Boti ilo  liitwalo mv Nzeimana linalofanya safari zake kati ya Kijiji cha Sibwesa na ikola  limezama  likiwa na abiria 60, ambapo abiria 51 wameokolewa.

Aidha Kamanda OTTIENO amesema chanzo cha ajali hiyo ni upepo mkali uliosababisha boti hilo kukosa...

 

10 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA NRA KWA WAKAZI WA MKOA WA KIGOMA KWA AJALI YA BOTI


Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam NAIBU KATIBU MKUU TAIFA NA KATIBU MKUU WA BODI ya CHAMA CHA UJENZI WA TAIFA, NRA (NATIONAL RECONSTRUCTION ALLIANCE), Mhe HASSAN KISABYA ALMAS, ametoa pole kwa wananchi wa mkoa wa kigoma na Uongozi Mzima wa mkoa kwa msiba mzito uliowapata baada ya watu zaidi ya kumi kupoteza maisha kwa ajali ya boti.Ndugu Kisabya alisema, ajali ni jambo lisilotarajiwa na kuwataka ndugu jamaa na marafiki waliopoteza jamaa zao kuna na uvumilivu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani