Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuzeeka ubongo, kaswende vyaweza kuwa chanzo cha tatizo la kutetemeka mikono

Moja ya vitendo vya mwili ambavyo viko nje ya uwezo wa mtu kujizuia ni kutetemeka. Wataalamu wanabainisha kuwa, kuna baadhi ya aina za kutetemeka zinazowapata watu ambao wana afya njema na aina zingine hutokea kama athari hasi za matumizi ya dawa aina fulani. Lakini kwa sehemu kubwa, kutetemeka kwa baadhi ya viungo vya mwili, ni moja ya dalili za baadhi ya magonjwa yanayoshambulia mfumo wa fahamu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kaswende, mawazo, vyaweza kukusababishia uwe na kipara

Kipara ni kitu ambacho kinawapata watu wengi walioko sehemu mbalimbali duniani. Takwimu zinaonyesha kuwa takriban asilimia 50 ya wanaume kwa nyakati tofauti maishani mwao hujikuta wanapata kipara.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kushikana mikono chanzo cha kusambaza magonjwa’

>Kutokana na tabia ya kuambukiza, magonjwa yanaweza kugawanywa kimsingi katika makundi makuu mawili, yaani magonjwa yasiyoambukiza au magonjwa yanayoambukiza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Takataka zaweza kuwa chanzo cha kipato

Uzalishaji wa takataka kwenye Miji na Majiji unakwenda sambamba na jitihada za kuzitunza?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wanaweza kuwa chanzo cha kuvuruga amani

MWANZONI mwa wiki hii viongozi wa Jiji la Dar es Salaam wanaonekana kupitisha azimio la kuuweka mji huo katika muonekano wa usafi, sipingani na hoja yao hiyo lakini kikubwa kilichonifanya...

 

10 years ago

GPL

DAKTARI AANIKA CHANZO CHA MASTAA KUWA WAGUMBA

GLADNESS MALLYA DOKTA Chale ambaye anaandika makala za afya katika gazeti ndugu la hili la Ijumaa,  ameanika chanzo cha mastaa wengi kupata ugumba ambapo pamoja na vyanzo vingine, ameyataja madawa ya kuongeza maumbile ya mwili na ya kujichubua yanasababisha tatizo hilo. Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Akizungumzia madawa hayo pasipo kuyataja majina (yamezagaa mitaani), dokta Chale alisema baadhi ya madawa hayo yana...

 

10 years ago

Michuzi

VYOMBO YA HABARI VINA UWEZO WA KUZUIA AU KUWA CHANZO CHA MACHAFUKO.

Na Mwandishi Maalum, New York  Imeelezwa kuwa waandishi wa habari pamoja na vyombo wanavyofanyia kazi wana nafasi kubwa ya ama kuchochea uibukaji wa machafuko katika nchi zao au kuyazuia kwa kutumia kalamu zao. Hayo yameelezwa siku ya Alhamis hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfumo mpya wa uchambuzi unaolenga kutathmini viashiria hatarishi vya uhalifu, mauaji ya kimbari ,uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita Hafla ya uzinduzi ...

 

10 years ago

Vijimambo

VYOMBO VYA HABARI VINAWEZA KUZUIA AU KUWA CHANZO CHA MACHAFUKO

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Jan Eliasson akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa thathmini na utambuzi wa viashiria vinavyoweza kama visipodhibitiwa mapema kuleta uhalifu, uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. uzinduzi huo umefanyika siku ya Alhamisi hapa Makao Makuu ya Umoja wa MataifaNaibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla hiyo ambayo iliandaliwa kwa pamoja na Wakilishi za Kudumu...

 

9 years ago

Bongo5

Michael Ross wa Uganda awachana Ma DJ na Mashabiki kuwa ndio chanzo cha kutosikika sana

Michael Ross

Wanamuziki huwa wanakutana na changamoto nyingi katika kazi zao, zikiwemo lawama za kutotoa kazi kwa wakati, lakini pale wanapotimiza majukumu yao bado wanakosa support kutoka kwa hao hao mashabiki.

Michael Ross

Muimbaji wa R&B kutoka Uganda, Michael Ross ameamua kabla ya kuuaga mwaka 2015 kutoa ya moyoni , na kujibu swali ambalo amekua akikutana nalo mara kwa mara la kwanini hasikiki sana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Kupitia Facebook Michael ametoa majibu ya swali hilo:

“Nakutana na watu wengi...

 

9 years ago

Mwananchi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani