Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa Picha: Kusherehekea Krismasi

Wakristo maeneo mbalimbali duniani wamejumuika kusherehekea sikukuu ya Krismasi ambayo huadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watoto yatima walipokaribishwa kusherehekea Krismasi Giraffe hoteli jijini Dar es salaam

 Meneja Mkuu wa na Hoteli ya Giraffe Ocean View, Evelyn Mwasela akizungumza baada ya kukabidhi zawadi ya mbuzi, mchele na mafuta ya kupikia kwa ajili ya Sikukuu ya Krimasi kwa watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam. Hafla hiyo iliyofanyika hoteli hapo  ilihusisha pia chakula cha mchana. Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula  cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Sherehe za Krismasi duniani kwa picha

Kutoka Afrika hadi Ulaya misa za Krismasi zimekfanyika baada ya mwaka 2019 uliokumbwa na majanga mengi.

 

10 years ago

Bongo5

Diva kusherehekea Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima

Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness aka Diva, atasherehekea sikukuu ya Christmas kwa kutoa msaada kwa watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Kigamboni Orphanage. Msaada huo utatolewa chini ya taasisi yake ya Diva Giving For Charity. “Together we rise, ni new Project iliokaa chini kwa muda mrefu sana kukusanya michango ya hapa na pale ili kuwasaidia […]

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Stanbic yatoa milioni 50 kwa wajasirimali katika kusherehekea miaka 25

Katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 25, benki ya Stanbic Tanzania imezindua shindano la wajasiriamali kwa lengo la kuchochea ukuaji wa shughuli za kibiashara nchini Tanzania. Shindano hilo liitwalo, ‘Stanbic Entrepreneurship Challenge’ linatarajiwa kuanza tarehe 28 Mei hadi tarehe 11 Juni mwaka huu – ambapo washindi watano watazawadiwa shilingi milioni 10 kila mmoja.

“Nchini Tanzania, sekta ya biashara ina makampuni ya biashara ndogondogo na za kati (SMEs) zaidi ya milioni 3, ambazo...

 

9 years ago

GPL

HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEKEA KUAPISHWA KWA RAIS DK. MAGUFULI

 Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kuapishwa kwake.  Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.… ...

 

11 years ago

GPL

MULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR

Baadhi ya wadau na wanahabari wakijiachia wakati wa sherehe ya kufunga mwaka ya kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Hawa wakiserebuka kwa muziki.…

 

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz)

Licha ya kuwa katika wakati mgumu katika michezo ya Ligi Kuu Uingereza, klabu ya Chelsea imeanza kusherehekea sikukuu ya Christmas kwa style hii, mastaa wa klabu ya Chelsea waliamua kuanza kusherehekea Christmas, kwa kutembelea wodi ya watoto ya hospitali ya West London. Mastaa hao wa Chelsea ambao timu yao ipo nafasi ya 16 katika msimamo wa Ligi Kuu […]

The post Licha ya kuwa na wakati mgumu, Chelsea wameanza kusherehekea Christmas kwa style hii (+Pichaz) appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

Kusherehekea wiki ya wanawake duniani Vodacom yatoa hamasa kwa watoto wa kike kujifunza Tehama


Mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Kinyerezi jijini Dar Es Salaam, Rahma Seif akielezea namna ya kujisomea kupitia mfumo wa Instant Schools unaowezesha kupata  materials‘ kwa njia ya mtandao bure kutoka Vodacom. Hii ni hamasa iliyowekwa na Vodacom kuelekea siku ya wanawake Duniani kwa mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yenye kauli mbiu I am the face of Tech.Mkuu wa Idara ya IT na Miradi Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara akitoa zawadi kwa wanafunzi mbalimbali wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani