Kwacha: Serikali tatu si lelemama
>Kabla ya kujiunga kwangu na ASP nilikuwa mwanachama wa mstari wa mbele katika Chama cha Zanzibar Nationalist Party (ZNP). Baadaye tukatoka na kuanzisha Umma Party. Hata hivyo mwelekeo wetu tayari na baadhi ya wenzangu ulishaamua kujiunga na Afro Shiraz Party (ASP).
Mwananchi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania