Kwanini ripoti ya KCU inafichwa?
JANUARI 3, 2013, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, alikaririwa na gazeti hili akisema timu ya wasaidizi wake imeanza kuchunguza tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Chama Kikuu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
JK aombwa kuimulika KCU
RAIS Jakaya Kikwete amepongezwa kwa hatua yake ya kuviamuru vyombo vya dola kuushughulikia uongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Tabora, uliofuja fedha za wakulima wa tumbaku. Pongezi hizo zimetolewa...
11 years ago
Habarileo11 Jun
Waziri atatua mgogoro KCU
SERIKALI imeagiza uongozi wa Ushirika mkoani Kagera kutoa usajili wa muda kwa Chama cha Msingi Magata, wilayani Muleba ikiwa ni hatua ya utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka miwili baina yake na Chama Kikuu cha Ushirika (KCU) 1990.
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
KCU wapata viongozi wapya
CHAMA Kikuu cha Ushirika Mkoa Kagera (KCU 1990) Ltd, kimewachagua viongozi wapya huku wa zamani wakitoshwa katika mkutano mkuu maalum uliofanyika mjini hapa, juzi. Uchaguzi huo umefanyika chini ya usimamizi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
KCU Kagera yafikisha lengo, yakosolewa
CHAMA Kikuu cha Ushirika cha KCU (1990) LTD hadi Januari 31, mwaka huu kimekusanya jumla ya tani 3, 753 za kahawa bora kwa maana ya asilimia 50.04 ya lengo la...
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Hongera wanaushirika KCU kwa kuondoa ‘mchwa’
CHAMA Kikuu cha Ushirika cha KCU (1990) Ltd cha mkoani Kagera kimefanya mabadiliko na kuitimua bodi iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti, John Binunshu kutokana na tuhuma za ufisadi. KCU ni kati...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
KCU wachagua viongozi wapya, ‘watosa’ wa zamani
CHAMA Kikuu cha Ushirika, Mkoa Kagera (KCU 1990) LTD, kimefanya mabadiliko ya kuwachagua viongozi wapya na kuwatupa wa zamani katika Mkutano Mkuu Maalum. Uchaguzi huo umefanyika jana chini ya usimamizi...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
KCU yachumbia mgogoro na vyombo vya habari
CHAMA cha Ushirika Mkoa wa Kagera, KCU (1990) Ltd kimejiingiza katika mgogoro na vyombo vya habari kwa kuwabagua na kuwazuia kupata taarifa muhimu. Hali hiyo ilijitokeza jana katika mkutano mkuu...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Sinema ya KCU (1990) Ltd ilivyochukua sura mpya
NJAMA za kumfukuza mwakilishi wa Chama cha Msingi Kamachumu kutoka kwenye nafasi yake, imeelezwa kugonga mwamba baada ya wanaushirika wa Kamachumu kuonyesha imani kubwa kwa mwakilishi wao. Uongozi wa Chama...
5 years ago
Michuzi
TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.


Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....