Sinema ya KCU (1990) Ltd ilivyochukua sura mpya
NJAMA za kumfukuza mwakilishi wa Chama cha Msingi Kamachumu kutoka kwenye nafasi yake, imeelezwa kugonga mwamba baada ya wanaushirika wa Kamachumu kuonyesha imani kubwa kwa mwakilishi wao. Uongozi wa Chama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s72-c/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro
![](http://1.bp.blogspot.com/-8heGyLCrwJg/VE5xCBtuuPI/AAAAAAAGtr0/_BvanElyQf0/s1600/Dr.Asha-Rose-Migiro-228x300.jpg)
WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA Nakayama, iliyopo wilayani Rufiji...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-I66htMIB39c/UykSHlcCRQI/AAAAAAAFUzU/nrXFdyevNwk/s72-c/IMG_2839.jpg)
sura mpya ya dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-I66htMIB39c/UykSHlcCRQI/AAAAAAAFUzU/nrXFdyevNwk/s1600/IMG_2839.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-g87wrbjTHa4/UykSHiFfb2I/AAAAAAAFUzM/86496-4fEeI/s1600/IMG_2841.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dusFJYCp-C4/UykSHvNiNAI/AAAAAAAFUzQ/2VeU322UlvE/s1600/IMG_2844.jpg)
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Sura mpya ya sakata la Uda
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Sura mpya Baraza la Mawaziri
10 years ago
Mwananchi17 Feb
Sura na mwelekeo mpya wa elimu Tanzania
11 years ago
Habarileo20 Jan
Sura mpya kumi Baraza la Mawaziri
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kujaza nafasi za mawaziri watano walioacha nafasi zao wazi, kutokana na sababu mbalimbali. Katika uteuzi huo, Rais Kikwete ameteua mawaziri wapya wawili na Naibu mawaziri wapya wanane, huku akiwapandisha vyeo naibu mawaziri wanne kuwa mawaziri kamili.
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Sura mpya ya Mtaa wa mabanda wa Kibera
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Sura mpya 17 ndani baraza la JPM
9 years ago
Raia Mwema25 Nov