Hongera wanaushirika KCU kwa kuondoa ‘mchwa’
CHAMA Kikuu cha Ushirika cha KCU (1990) Ltd cha mkoani Kagera kimefanya mabadiliko na kuitimua bodi iliyokuwa ikiongozwa na Mwenyekiti, John Binunshu kutokana na tuhuma za ufisadi. KCU ni kati...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHONGERA BAYPORT: JICHO LENU KWA ALBINO LINA MAANA KWA TAIFA
Meneja Mauzo wa Bayport, Lugano Kasambala (kulia) akitoa mchango na pole kwa Ester Jonas. SIKU chache zimepita kama nilipata kusikia maneno ya busara kutoka kwa Meneja Mauzo wa Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala. Mkuu huyo wa taasisi hiyo inayojihusisha na mikopo hapa nchini alizungumzia kwa kina vita dhidi ya mauaji ya Albino inayoendelea kushika kasi hapa nchini. Kasambala alikoleza kile...
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Umoja wa Mchwa Mpesa
Hatimaye sebule ya waishiwa imehuishwa tena. Kwa kweli haijafanya kikao siku nyingi kutokana na wingi wa shughuli. Lakini, hatimaye ilibidi sisi waishiwa tuweke pembeni mihangaiko ya kutafuta angalau elfu tatu kwa siku ili kuwaongelea wasioridhika na laki tatu.
10 years ago
Habarileo13 May
‘Mchwa’ fedha za umma kukiona
OFISI wa Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeziagiza halmashauri zote nchini, kuanzia Julai Mosi, mwaka huu kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika ukusanyaji wa mapato yote ya ndani.
11 years ago
BBCSwahili13 May
Mchwa wavamia ikulu Paraguay
Mchwa wamevamia ikulu ya Paraguay makaazi rasmi ya rais wa nchi hiyo na kutishia udhabiti wa jengo hilo la kihistoria
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Hongera kwa Wazanzibari kuwahi fursa
Siku moja kabla na baada ya mwaka mpya nilikuwa Unguja. Kuna mazuri na yanayotia moyo nayaona yakifanywa na Watanzania wenzetu kule katika kuboresha utalii wa ndani na kuvutia watalii wa kutoka nje.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Hongera vyama kwa kampeni za kistaarabu
Ni takriban siku 15 tagu kampeni zilipoanza rasmi kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwa bahati nzuri hakuna matatizo makubwa ambayo yametokea hadi sasa.
10 years ago
Mwananchi16 May
Hongera Basata kwa kuonyesha makali
Niwapongeze Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kwa kuonyesha wazi kusimama kidete kulinda utamaduni wa Mtanzania na sanaa kwa ujumla.
11 years ago
GPLHONGERA ASHA BARAKA KWA KUTAMBUA HILO!
KWAKO,
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka. Pole na majukumu ya kazi zako za kila siku. Kwa muda mrefu sana hatujaonana, najua ni kutokana na mchakamchaka wa maisha ya kila siku. Asha Baraka. Najua una maumivu ya kupoteza jembe lako, mpiga tumba wa muda mrefu wa bendi yako ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ marehemu Masoud Mohamed ‘MCD’. Pole sana sister ‘angu. Ndiyo dunia, sote tu...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-OofnrSaERSA/VHwA6wdf9OI/AAAAAAAAq0k/d_c02TfAr5M/s72-c/image-5af9bd0caaf235a44facb37ed1e1f98f555c11dd2e546fea075b7737292ffe03-V.jpg)
HONGERA SHARIFA OTHMAN KWA KUKAMATA NONDO
![](http://1.bp.blogspot.com/-OofnrSaERSA/VHwA6wdf9OI/AAAAAAAAq0k/d_c02TfAr5M/s1600/image-5af9bd0caaf235a44facb37ed1e1f98f555c11dd2e546fea075b7737292ffe03-V.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xRcvgQga7J0/VHwA6SIALQI/AAAAAAAAq0Y/6tfuqU4MUow/s1600/image-433d8f98085eaa24e57d8a193c883555567794b2fb348e8b9bad2cbf870e8440-V.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania