Kwanini ulevi wako uwaletee kero wengine?
POMBE ni kinywaji kama vilivyo vinywaji vingine, lakini tofauti kubwa, ni kwamba mwisho wa kunywa pombe ni kulewa. Awali ya yote nigependa niwaombe radhi wale wote kutokana na sababu mbalimbali,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Sep
Kwanini hutakiwi kunywa pombe na bosi wako
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Tumia muda wako kujenga maisha yako sio kubomoa ya wengine!
WAHENGA walisema, akili ni nywele na kila mtu ana zake, kwa msemo huo, mimi binafsi nakubaliana nao moja kwa moja kwa kuwa katika hali ya kawaida kila binadamu ana nywele...
9 years ago
Bongo514 Nov
Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine
![lollipop2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/lollipop2-300x194.jpg)
Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.
Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.
“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...
10 years ago
Bongo507 Jan
Joell Ortiz anatuasa kwanini ni vibaya kukagua simu ya mpenzi wako kwenye video hii kali
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Je,utakubali mshahara wako kukatwa na kupewa mzazi wako?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuWAo4k3TucMaT2-e9U-AGlALAJdF9Ps5fj99mnCsCGDgNn8CZCDloSl0Rn0klG0oS*2yhg2-48EbsLl*-KBZIOI/mahaba.jpg?width=650)
UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI? -3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mK50tPAXydWWQKXTbhj3*-mF1qOgY0m92*oxbs4uWYE98cy7Z5q8xuTVUL6bUOIxQFNDpKOR1dRpMqetqEz6Q5A4c6W4nyfB/mahaba.jpg?width=650)
UMUHIMU WAKO KWA MWENZI WAKO UKO WAPI?
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Ulevi noma
Konda huyo akiwa amelewa chakali.
Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.
Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...
10 years ago
Mwananchi18 Mar
JK: Baadhi ya Ma-DC wametemwa kwa ulevi