Kwawalioangalia Movie ya Tugawane Maumivi, Mtunisy Anauliza Hapa!!!!
Mwigizaji na muongozaji wa filamu za kibongo, Nice Mohamed “Mtunisy” amewauliza swali hili mashabiki wake walioagalia filamu yake ya “Tugawane Maumivu” iliyotoka hivi karibuni.
"Hili swali nalileta kwenu nyie mashabiki wangu wote waliobahatika kuiangalia film yangu hii ya TUGAWANE MAUMIVU unahisi ndoa ya CHUCHU na RAMMY waliishi vipi kutokana na kile kilichotokea pale kanisani ukizingatia ndoa ya kikristo ukishaoa inasemekana ndio umeoa huwezi kuoa tena au mwanamke kuolewa tena!!!."...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_mApUYvf_uM/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k4u8awuVyxq-LuUkmkeMcGgfy6*J79glFJmv2TK7gfK5iJAij3KjsLMMiHKp8xx89YzsfIxdX0cI2-eo7qXcVZ5/matumaini.jpg?width=650)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NDONDI... HAPA WABUNGE PALE BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies12 Apr
Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wastara Juma amebandika picha hii mtandaoni akiwa na meneja wake Bond Bin Sinnan ni mtangazaji na pia ni muongozaji na muigizaji wa Filamu.
Kilichowafurahisha wengi ni haya mameno Wastara alioyaandika kwenye picha huyo;
“Kwa mfano yaani no yaani nauliza hivi kwa mfano inakuwa ni aah basi nimeghairi tuendelee kuangalia mpaka usingizi utupitie uaminifu dhaifu hii ni TBTau Tabata Barakuda tuliambiwa cut ila cinema iliendelea”
Nadhani ameeleweka vyema, hasa...
10 years ago
Bongo Movies29 Dec
UTANI:Mtunisy Amtupia Dongo Wolper
UTANI KIDOGO: Akiwa kwenye hilo pozi la kutulia, Mtunisy alitupia hii mtandaoni;
"Mji umepoa mpaka raha bora nyie WACHAGA mmbakie huko huko kwenu KISHUMUNDU muna fujo sana hapa mjini wamebakia wachache tu akina WOLPER ingawa nao hawatulii"-Mtunisy alimaliza.
Hii iliwafanya mashabiki wengi kuachia KOMENTI na LIKES za kutosha, wakimtaka wolper ajitokeze kuthibitisha madai hayo…huku baadhi ya watu wakabira la wachanga wakijisifu kwa njinsi wanavyotumbua siku kuu huko Kilimanjaro.
10 years ago
Bongo Movies18 Jan
UCHOKOZI: Kitu Gani Mnapenda Kwenye Mwili Wanguuu? Uwoya Anauliza
Mrembo na mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....
Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi...
10 years ago
Bongo Movies30 Jan
Panya Road: Mtunisy Amtumia Barua Mwita Chacha!!!!
UTANI KIDOGO: Siunakumbuka Mwita Chacha alivyowaponda wanaume wa Dar, eti hawana lolote wanaenda GYM ili wakamate warembo tu, kwani wameshindwa kuwadhibiti Panya Road na kukimbia barabarani huku wengine wakijifisha kwenye uvungu wa meza za Bar. Sasa Mtunisy akiwa ni moja kati wa vijana wanoshinda GYM ameibuka na barua hii.
"BARUA hii ije kwako wewe Bw Mwita Chacha sijui toka huko Tarime uliejirekodi na kutuita sisi wanaume wa Dar kuwa ni waoga sana na tunaogopa hata panya rodi tu. Kwa...
10 years ago
Bongo Movies12 Dec
MTUNISY: Siku Hizi Mtu Akikuumiza Nawe Muumize Tu Mradi Mugawane Maumivu
Tugawane Maumivu ndio jina la filamu mpya iliyotoka hivi karibuni kutoka kwa muigizaji na muongozaji wa filamu, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisy. Akizungumzia maendeleo ya kazi hii sokoni, Mtunisy aliwashukuru mashabiki na wapenzi wote waliomuunga mkono kwa kununua kazi yake na kuwaomba waendelee kumuunga mkono.
“Ahasanteni wapendwa kwa sapoti yenu kubwa mlioionyesha kwa kununua film yangu mpya hakika nimeamini huwezi kuchukiwa na wote hii imedhihilisha ktk kz yangu hii ya TUGAWANE...