Picha: Wastara Anauliza, Hivi kwa Mfano….
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wastara Juma amebandika picha hii mtandaoni akiwa na meneja wake Bond Bin Sinnan ni mtangazaji na pia ni muongozaji na muigizaji wa Filamu.
Kilichowafurahisha wengi ni haya mameno Wastara alioyaandika kwenye picha huyo;
“Kwa mfano yaani no yaani nauliza hivi kwa mfano inakuwa ni aah basi nimeghairi tuendelee kuangalia mpaka usingizi utupitie uaminifu dhaifu hii ni TBTau Tabata Barakuda tuliambiwa cut ila cinema iliendelea”
Nadhani ameeleweka vyema, hasa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, Anafanana Vingi na Sajuki

Wastara na Mlela
Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si mwingine ni Yusuph Mlela au Mlelandro.
Hayo ni maneno ya mwigizaji Wastara Juma kwenye moja ya post zake kwenye mtandao picha wa instagram...
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita

Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.
Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;
“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.
Huyo ndio...
10 years ago
Bongo Movies17 Jul
Picha: Wastara Akichukua Fomu Mjini Morogoro
Morogoro nikiwa na viongozi wa CCM na jumuiya wa wilaya ya Morogoro mjini kwenye uchukuaji wa fomu ya ugombea ubunge wa viti maalum kupitia kundi la walemavu nimethubutu na naaamini na kutegemea mchango wenu...
Wastara on instagram
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
PICHA:Sherehe ya Kuzaliwa ya Mtoto wa Wastara ya Hudhuriwa na Mastaa Kadhaa
Siku ya leo, mwigizaji wa filamu, Wastara Juma alimfanyia sherehe mtoto wake wa kiume aitwae Faris ,ambae siku ya leo amefikisha umri wa miaka 10 yakuzaliwa.
Sherehe hiyo iliudhuriwa na baadhi ya waigizaji wakubwa kama, Bond Bin Sinnan amabe ni mtangazaji na muigizaji na Salma jabu “Nisha” na wengine wengi.
Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo. Tunamtakia maisha marefu kijana huyu na tungependa aje kuinga kwenye tasnia hii ya filamu.
Wastara anauliza: “Kafanana na nani huyu mtoto...
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Picha: Sio Mdomo tu Hata Mkono Nipo Gado- Wastara
Staa wa Bongo Movies Wastara Juma ame-share nasi picha hizi akiwa gym anafanya mazoezi huku akiandika maneno kuelezea kuwa yupo kwenye maandalizi ya filamu mpya inayofanyika chini ya kampuni ya WAJEY Film Company ambapo atakuja kivingine.
Hii ni mistari aliyondika kwenye picha hizo;
WAJEY Film Company Back Soon, New Project New Style
WAJEY, sio mdomo tu hta mkono upo gado
WAJEY....ila ninawashwa kumchapa mtu kichapo cha mbwa mwizi
Mdau, unautabiri vipi ujio huu wa Wastara kwenye...
11 years ago
VijimamboMartin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Wastara Afunguka Kumzimia Sharukhan, Adai Kubandika Picha Zake Chumbani!
“Mama weeee uwiiii jamani nakufa mwenzenu kwa huyu mtu mwanaume nampenda huyu daah.... Mpaka leo ajapta mpinzni ndani ya moyo wangu kwa pande za bollywood lov uuuuuu shaharukhan nikisema sana utakuwa uongo lakini ningekuwa mwanaume ningemcopy kilakitu katika uigizaji yaani toka mwaka 1991 naanza kumjua huyu jamaa nakumbuka nilibandika pic zake chumba kizima nikawa naongea nae kma namuona vile jamani mapenzi mabaya mapenzi yanaua hhhhha Lov U Sharukhan”.. Wastara aliandika maneno haya mara...
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Picha Hizi Za Wastara Za Kulazwa Hospitali Zawaacha Mashabiki Njia Panda
Picha hizi za muigizaji, Wastara Juma,akiwa hospitali amelazwa baada ya kufanyiwa vipimo zimewaacha mashabiki katika njia panda, wengine wakiamini anaumwa na kuanza kuampa pole huku wengine wakiamini yupo kazini yaani anatengeneza filamu.
Picha hizi aliziweka Wastara mwenyewe mtandaoni bila ya kuandika chochote, na hadi sasa ajajibu hata comment moja kutoka kwa followers wake ambao wanataka athibitisha kama kweli ni mgojwa.
Bongomovies.com haikufanikiwa kumpata Wastara kwa njia ya simu...