Lembeli ataka Lowassa asafishwe
Na Khamis Mkotya, Dodoma
MBUNGE wa Kahama Mjini, James Lembeli (CCM), ameaungana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba, baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow na Operesheni Tokomeza.
Akichangia bungeni jana, Lembeli alisema wakati Serikali imewasafisha baadhi ya watendaji, haoni jitihada kama hizo za kumsafisha Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa aliyejiuzulu uwaziri mkuu kutokana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Lembeli ataka Watanzania waamue mkweli
11 years ago
Mwananchi08 Jul
MALALAMIKO: Lembeli ataka madiwani wazembe Kahama wazomewe
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Lowassa ataka serikali tatu
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Sitta ataka mdahalo na Lowassa
9 years ago
Habarileo31 Aug
Sitta ataka akutanishwe na Lowassa
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond.
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Mtoto wa Sokoine ataka Jimbo la Lowassa
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Lowassa ataka haki za binadamu kwanza
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Lowassa ataka tija katika michezo