Lowassa ataka serikali tatu
Hatimaye mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa amezungumzia kuundwa kwa Katiba Mpya ambayo itakuwa ya serikali tatu itakayoipa Zanzibar mamlaka kamili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Serikali yatumia makanisa kupinga serikali tatu
SERIKALI imeendelea kuibeza rasimu ya pili ya katiba iliyowasilishwa bungeni na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kwa madai kuwa imekuja na hoja ya...
10 years ago
Mtanzania15 May
Lembeli ataka Lowassa asafishwe
Na Khamis Mkotya, Dodoma
MBUNGE wa Kahama Mjini, James Lembeli (CCM), ameaungana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba, baada ya kuzungumzia ripoti ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue iliyowasafisha baadhi ya watendaji serikalini waliohusika katika kashfa ya Escrow na Operesheni Tokomeza.
Akichangia bungeni jana, Lembeli alisema wakati Serikali imewasafisha baadhi ya watendaji, haoni jitihada kama hizo za kumsafisha Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa aliyejiuzulu uwaziri mkuu kutokana...
9 years ago
Habarileo31 Aug
Sitta ataka akutanishwe na Lowassa
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond.
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Sitta ataka mdahalo na Lowassa
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Lowassa ataka tija katika michezo
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Mtoto wa Sokoine ataka Jimbo la Lowassa
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Lowassa ataka haki za binadamu kwanza
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...
9 years ago
Mtanzania29 Oct
Lowassa ataka Kura zihesabiwe kwa mikono
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kusitisha kuhesabu kura kwa kutumia Teknolojia ya Tehama na badala yake zihesabiwe kwa mikono.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Lowassa alisema jaridhishwi na mwenendo wa matokeo ya kura za urais unavyotolewa na kueleza kuwa ukusanyaji huo wa matokeo umekuwa...