Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lembeli awatadharisha wananchi Shinyanga

LEMBENa Kadama Malunde

MGOMBEA ubunge wa   Kahama mjini   kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), James Lembeli,  amewataka watanzania kupuuza propaganda inayoenezwa kuwa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli,  ni msukuma ili kuwarubuni watu wa Kanda ya Ziwa wampigie kura.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao za Ukawa katika Wilaya ya Shinyanga uliofanyika jana katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga, Lembeli alisema siyo kweli kwamba Magufuli yuko...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Lembeli aichefua CCM Shinyanga

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na mwanachama wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Kahama, James Lembeli kwamba CCM si mama yake.

 

9 years ago

Vijimambo

Team Nimes'tuka yavamia Shinyanga na kufanya mikutano na wananchi

Kundi la wasanii wanaomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk John Pombe Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.
Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa filamu na muziki, limetimiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa  Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC MBONEKO AHAMASISHA WAFANYABIASHARA NA WANANCHI KULIPA KODI YA PANGO LA ARDHI SHINYANGA



Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kulia) akitoa elimu ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Phantom Oil Tanzania Ltd  John Maguru (kushoto) inayodaiwa shilingi milioni 105 za pango la ardhi tangu mwaka 2007 leo Alhamis Aprili 2,2020 wakati akiongoza Kampeni ya Kuhamasisha Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wamiliki wa viwanja vya Biashara na makazi katika manispaa ya Shinyanga. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipango Mji...

 

9 years ago

GPL

TEAM NIMES'TUKA YAVAMIA SHINYANGA NA KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI‏

 Miss Tanzania 2014 Lilian Kamanzima akiongea na umati wa watu uliojitokeza kulisikiliza kundi la Nimestuka, Shinyanga Mjini jana. Mmoja kati ya viongozi wa kundi la Nimestuka, Aunt Ezekiel akiongea na wananchi katika mkutano mkutano uliofanyika Shinyanga Mjini ambapo walisimama kuhamasisha vijana wenzao kusikiliza sera kwa umakini na kumuunga mkono Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Dk John Magufuli.
Msanii wa… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa

Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wameelezea kufurahishwa kwao na huduma za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli aishukia serikali

SERIKALI imetakiwa kutoa maelezo ya kina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira juu ya kubadilishwa kinyemela mipaka ya Hifadhi ya Arusha (ANAPA), hatua iliyochangia wananchi...

 

10 years ago

TheCitizen

Lembeli defects to Chadema

The race for parliamentary seats has taken a new shape after outgoing Kahama MP on the ticket of the ruling party, CCM, Mr James Lembeli, yesterday decamped to the main opposition Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani