Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO LWEKAMWA: Tanganyika iliyonipeleka jela imerudi

JINA la Leo Lwekamwa si geni masikioni mwa wafuatiliaji wa siasa za mageuzi nchini. Huyu ndiye muasisi wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) mwaka 1991. TLP ilipata usajili wa kudumu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Waasisi wa Muungano, Mwalimu Julius Nyerere (kulia) na Abeid Aman Karume wakisaini hati za Muungano mwaka 1964.RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

USAFIRI WA MAJINI ZIWA TANGANYIKA JIONI YA LEO MKOANI KIGOMA.

  Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga,ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa,na huchukua masaa mane kufika kwenye ufukwe huo,ambako ni mpakani mwa jirani na nchi ya Burundi. Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua,wakati ilipoanza kunyesha mjin hapa.  Baadhi ya abiria kutoka sehemu...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA: MJENGWABLOG IMERUDI HEWANI!

Ndugu zangu,
Ni saa kadhaa zilizopita. Tunawashukuru wote mliotutumia jumbe na kutupigia simu kuulizia kulikoni. Mmeonyesha kujali. 

Tunaamini, kuna wengi pia ambao hawakupata nafasi ya kuulizia tatizo, lakini, kuwa wapo pamoja nasi,tunawashukuru sana. 
Unaweza sasa kutembelea
http://mjengwablog.com

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA WAWEKEZAJI LA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA LEO SUMBAWANGA MKOANI RUKWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Uwekezaji la Ukanda wa ziwa Tanganyika linalojumuisha Mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma. kongamano hilo linafanyika leo 01 Nov 2014  katika Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga, Mkoani Rukwa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi na tano kwa wajasiriamali wadogo wadogo wa Sumbawanga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ndio! Fuso ni Faida imerudi tena!

image 1

Wafanyakazi wa Diamond Motors Limited wakiwapa maelezo mbalimbali watu waliojitokeza katika maonyesho ya Kampeni ya Ndio! Fuso ni Faida iliyoanza 24 julai 2015 jijini Dar es Salaam.

image 2

image 3

image 4

Kampeni ya Ndio! Fuso ni Faida Ilianza kwa kishindo jijini Dar es Salaam na baadae kuelekea mikoa mingine kama vile Tanga, Moshi – Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Kahama-Shinyanga, Dodoma, Iringa, Mbeya, Songea- Ruvuma na mwishowe kuishia Dar es Salaam.    

image 6

image 7

Diamond Motors Limited ni wasambazaji wa magari pekee...

 

9 years ago

Mwananchi

African Sports, imerudi kubipu au kupiga?

Ghafla, klabu ya African Sports ya Tanga imerudi katika Ligi Kuu nchini. Ilikuwa ni raha ya aina yake kuitazama zamani.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA, MJINI KIGOMA LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya jiwe lenye Madini huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Aifola Investiment Co. Ltd, Zubery Mabie, kuhusu upatikanaji wa madini na utengenezaji wa Unga wa 'Lime Powder', wakati Makamu alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonesho kwenye ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika leo Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma.  Sehemu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani