Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leo Mkanyia: We can defeat Ebola

The mention of the word ‘Ebola’ alone can be as scary as catching the disease itself, especially after it ravaged families in West African countries.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Leo Mkanyia ndani ya Alliance Francais

Lile jimbo lililo gumzo la mjini hivi sasa lawika tena.
Leo Mkanyia akiwa na timu kamili ya Swahili Blues Band wameipagawisha jumuiya ya kimataifa iishiyo jijini Dar es Salaam jumatano hii. Haya yametokea kwenye ukumbi wa Alliance Francais katika onyesho kabambe lililo andaliwa na Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa. Onyesho hilo maarufu kama Barazani ni la mwisho katika mwaka huu wa 2014. Swahili Blues Band pamoja na wasanii kadhaa walipewa heshima ya kupiga mshindo katika show hii kabambe ya...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Mfahamu Leo Mkanyia, mwanzilishi wa Swahili Blues

Mwanamuziki wa Tanzania, Leo Mkanyia anauita muziki wake ‘Swahili blues’. Alizaliwa jijini Dar es Salaam mwaka 1981, na alianza kucheza guitar akiwa na miaka minane na baadaye kufundishwa kulicharaza vizuri na baba yake aliyekuwa akicheza muziki wa Jazz. Tumefanya mahojiano na Leo ambaye ametueleza kwanini aliamua kuuita muziki wake Swahili Blues. Tazama mahojiano hayo ambayo […]

 

10 years ago

Michuzi

Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

Shanghai Daily (Subscription)

UN envoy pushes for more efforts to defeat Ebola virus in Africa


UN envoy pushes for more efforts to defeat Ebola virus in Africa
Shanghai Daily (subscription)
ARUSHA, Tanzania, Oct. 23 (Xinhua) -- A United Nations envoy on Thursday called on African Union (AU) and member countries to come up with more efforts that would completely defeat Ebola disease which continues to kill thousands of people in West ...
AU urges joint efforts to fight terrorismCoastweek

all 2

 

10 years ago

Vijimambo

Video na Picha: Mwasisi wa Swahili Blues Leo Mkanyia Azidi Kutikisa Kimataifa

Embedded image permalinkGazeti la The Citizen la Tanzania linamwita 'lulu iliyofichika' hidden gem, kwa kimombo). Huyu ni Leo Mkamia, msanii wa Kitanzania na mwanzilishi wa aina ya muziki ujulikanao kama 'Swahili Blues.'
Siku chache zilizopita, Leo alirekodi wimbo wake mpya uitwao 'Pamoja.' Miongoni mwa yatakayoonekana katika video ya wimbo huo ni performance ya kihistoria ya msanii huyo katika moja ya vyuo vikuu vikubwa hapa Uingereza, Nottingham University, ambapo Leo alifanikiwa kuwaimbisha Kiswahili baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ERIC OMONDI KUVUNJA MBAVU ZA WAKAZI DAR JUMAMOSI HII, KUSINDIKIZWA NA SARABI BAND, LEO MKANYIA NA GRACE MATATA

Mchekeshaji maarufu Eric Omondi na bendi ya muziki ya SARABI kutoka Kenya wataungana na wanamuziki wa Tanzania Grace Matata na Leo Mkanyia na bendi yake ya Swahilli Blues kukonga nyonyo za mashabiki wa muziki na vichekesho jijini Dar es Salaam wakati wa onyesho la muziki jumamosi wiki hii.Onyesho hilo ambalo limeandaliwa na CDEA:“Culture and Development East Africa” kwa kushirikiana na Nafasi Art Space litafanyika jumamosi ya tarehe moja mwezi wa nane mwaka huu, kuanzia saa moja jioni mpaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

East Africa Vibes Concert yafana Dar: Eric Omondi, Sarabi Band, Leo Mkanyia na Grace Matata wafunika

DSC_2289Wanamuziki wa bendi ya  SARABI kutoka Kenya, ikishambulia jukwaa usiku wa jana  Agosti Mosi, wakati wa shoo  East Africa Vibes Concert iliyofanyika Nafasi Art Space, Mikocheni. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)

Na Andrew Chale

(Kinondoni-Dar es  Salaam) Usiku wa  Agosti Mosi ulikuwa ni ya kipekee kwa wadau wa burudani na vichekesho ndani ya Afrika Mashariki baada ya kushuhudia muziki wenye vionjo halisi kutoka kwa wanamuziki mbalimbali wa Afrikaa Mashariki   ndani ya ukumbi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

LEO MKANYIA WA BAND YA SWAHILI BLUES BAND

 Leo Mkanyia alipata mwaliko kutoka Nottingham University hili kushiriki kwenye tamasha la kuraise awareness juu ya Ebola. Leo akiwa chuoni hapo aliimba wimbo alioupa jina la "Pamoja' wimbo huo wa pamoja aliupiga kwenye tamasha hilo kwa kushirikiana na Nottingham Academy Choir. Wimbo huo pia alipata nafasi ya kurekodiwa na utakuwa tayari kwa kusambanzwa kwenye vituo vya radio hapa nchini.

  Hapa Leo akiimba wimbo huo wa pamoja na wanafunzi wa chuoni hapa kama unavyoona pembini Profesa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani