Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leo ni Bajeti Kuu

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, leo anatarajia kusoma Bajeti Kuu ya Serikali. Bajeti hiyo ambayo ni ya kwanza kwa Waziri Mkuya, inasomwa baada ya mawaziri wote kumaliza kusoma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Dira Bajeti ya Serikali Kuu kujulikana leo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Dk Mary NaguDIRA ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha, itajulikana leo baada ya Wabunge kukutana na Serikali kwa lengo la kueleza mipango na vipaumbele vya nchi, vitakavyotekelezwa kupitia bajeti hiyo.

 

11 years ago

CloudsFM

BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA

Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

Vipaumbele vya Bajeti hiyo, kwa maana ya miradi itakayozingatiwa zaidi, ni iliyo katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu hatihati

>Wakati Serikali ikiwa taabani kifedha, wabunge wengi, wakiwamo wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wanapanga kukwamisha Bajeti Kuu ya Serikali, inayofikia zaidi ya Sh19 trilioni.

 

11 years ago

Habarileo

Wiki ya Bajeti Kuu ya matrilioni

BUNGE linaendelea na mkutano wake wa 15 mjini Dodoma leo, huku shughuli kubwa wiki hii ikiwa ni kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali ya matrilioni ya shilingi. Bajeti hiyo ni ya mwaka wa fedha 2014/15. Pia, wiki hii kutafanyika uchaguzi wa wawakilishi wa Bunge katika taasisi mbalimbali.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Kuu ya Serikali yasukwa

KAMATI ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, leo ilianza vikao vya siku sita na Serikali ili kutayarisha Bajeti Kuu ya Serikali, ambayo itasomwa Juni 12, mwaka huu na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu yapita gizani, Mkuya atema cheche

>Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 imepitishwa jana bungeni mjini hapa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akisema lazima wafanyabiashara walipe kodi inayostahili na iwapo kuna anayedhani anapata hasara kwa kulipa kodi afunge biashara.

 

5 years ago

CCM Blog

BAJETI KUU YA SERIKALI 2020-2021 ILIVYOSOMWA BUNGENI DODOMA


Muda huu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.

 

5 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM,Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein    akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally alipowasili kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini...

 

11 years ago

GPL

BAJETI KUU YA SERIKALI: TAKRIBANI SH. TRIL. 19. 7 ZATARAJIWA KUTUMIKA MWAKA 2014/2015

Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akiwaasa wabunge wote kushiriki kikamilifu katika kamati zao kizalendo kwa kujali nchi yao ili ipatikane bajeti yenye tija kwa taifa leo (jana) wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya fedha jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Saada Mkuya  Salum akiwasilisha taarifa ya sura ya Bajeti kuu ya Serikali kwa wabunge leo (jana)  jijini Dar es salaam… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani