Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wiki ya Bajeti Kuu ya matrilioni

BUNGE linaendelea na mkutano wake wa 15 mjini Dodoma leo, huku shughuli kubwa wiki hii ikiwa ni kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali ya matrilioni ya shilingi. Bajeti hiyo ni ya mwaka wa fedha 2014/15. Pia, wiki hii kutafanyika uchaguzi wa wawakilishi wa Bunge katika taasisi mbalimbali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wizara kufunga bajeti wiki hii

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.MAKADIRIO ya Mapato na Matumizi ya Wizara mbalimbali za Serikali yanatarajiwa kuhitimishwa wiki hii wakati wizara sita nyeti zitakapokamilisha uwasilishaji wa bajeti hizo kwa mwaka wa fedha 2015/16.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 13: Anza kupanga bajeti ya mtoto

KATIKA makala iliyopita tuliona kuwa wiki ya 12 ya ujauzito ni muhimu sana kwa sababu ndicho kipindi ambacho mama ataanza kuhisi mitikisiko ya mtoto aliye tumboni. Wakati huu misuli ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu hatihati

>Wakati Serikali ikiwa taabani kifedha, wabunge wengi, wakiwamo wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wanapanga kukwamisha Bajeti Kuu ya Serikali, inayofikia zaidi ya Sh19 trilioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Leo ni Bajeti Kuu

WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, leo anatarajia kusoma Bajeti Kuu ya Serikali. Bajeti hiyo ambayo ni ya kwanza kwa Waziri Mkuya, inasomwa baada ya mawaziri wote kumaliza kusoma...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Kuu ya Serikali yasukwa

KAMATI ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, leo ilianza vikao vya siku sita na Serikali ili kutayarisha Bajeti Kuu ya Serikali, ambayo itasomwa Juni 12, mwaka huu na Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya.

 

10 years ago

Habarileo

Dira Bajeti ya Serikali Kuu kujulikana leo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Dk Mary NaguDIRA ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha, itajulikana leo baada ya Wabunge kukutana na Serikali kwa lengo la kueleza mipango na vipaumbele vya nchi, vitakavyotekelezwa kupitia bajeti hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanesco; matrilioni kumaliza mgawo wa umeme nchini

Wananchi kwa muda mrefu wamekuwa wakiteseka na wakati mwingine kupata hasira kutokana na kutopata umeme wa uhakika tangu miaka ya 1980. Wakati mwingine wanapata hasira baada ya vyombo vyao kuungua kwa mfano, friji, redio na televisheni kutokana na umeme kukatika na kurejea kwa kasi .

 

11 years ago

Mwananchi

Bajeti Kuu yapita gizani, Mkuya atema cheche

>Bajeti Kuu ya Serikali ya 2014/15 imepitishwa jana bungeni mjini hapa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akisema lazima wafanyabiashara walipe kodi inayostahili na iwapo kuna anayedhani anapata hasara kwa kulipa kodi afunge biashara.

 

11 years ago

CloudsFM

BAJETI KUU YA SERIKALI KUSOMWA LEO BUNGENI DODOMA

Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.
Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

Vipaumbele vya Bajeti hiyo, kwa maana ya miradi itakayozingatiwa zaidi, ni iliyo katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani