Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leo ni siku ya kuzaliwa ya mdau Othman Michuzi

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu,kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.

pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili, Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail Michuzi,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HEPI BESDEI YA KUZALIWA OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba moja katika umri wangu, kwani bila yeye hakuna kitu chochote kinachoweza kufanyika.
pia nitakuwa ni mchoyo wa Fadhila iwapo sitotoa shukrani za kipekee kwa ndugu zangu woote (wakiwemo wazazi wangu wawili na akina  Ankal Issa Michuzi, Ahmad Michuzi, Karim Michuzi, Ramadhan Michuzi, Ismail...

 

10 years ago

Dewji Blog

Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana

IMG-20140504-WA0009Mh. Shy rose Bhanji  ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday  Shy rose.

Na Andrew Chale, Modewji blog

Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog,  Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy Rose Bhanji  ambaye ametimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2015.

Mtandao  huu wa Modewji blog unamtakia kila lakheri katika haarakaati zake mbalimbali za ujenzi wa Taifa na Dunia kwa ujumla. Hongera sana ‘Happy Birthday’  ‘Happy Birthday Shy rose.

11193429_836337136403159_7495161636993222906_nMy birthday wish...

 

10 years ago

GPL

MDAU SOPHIA NYANGASHA AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Oktoba 4, 2014 ilikuwa ni sherehe ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa  kwa mwanadada Sophia Nyangasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo hafla hiyo fupi iliweza kufana ndani ya Kiota cha Maraha cha High Spirit Lounge jijini Dar. Shangwe za marafiki katika hafla hiyo.…

 

10 years ago

Michuzi

leo ni hepi besdei ya kuzaliwa mtoto Benedickt wa mdau ernest makulilo - waraka toka kwa baba mtu

 HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILO HAPPY BIRTHDAY BENEDIKT FULBRIGHT MAKULILOMy dearest son, BenediktToday is your 4thBirthday. It is another February 10th of the year. You were born at 5:42pm Pacific Standard Time. Your birth is a blessing and that’s why you are Benedikt. You have helped us to be better human beings by reflecting our lives as parents. Both Marie and I are thankful to God every day to have such a wonderful little guy.For...

 

11 years ago

GPL

LEO NI SIKU YA KUZALIWA MWANAMUZIKI PHIL COLLINS

Phil Collins. MWANAMUZIKI kutoka nchini England, Philip David Charles "Phil" Collins leo ametimiza umri wa miaka 63. Collins ambaye pia ni mwimbaji, mwandishi wa nyimbo, mpiga ala mbalimbali za muziki na mwigizaji  alizaliwa Januari 30, 1951 jijini London, England. Baadhi ya nyimbo za msanii huyo zilizotamba ni pamoja na: "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "Against All Odds (Take a...

 

10 years ago

Michuzi

Leo ni siku ya kuzaliwa mwalimu julius kambarage nyerere

Kutoka maktaba: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na umri wa miaka 20 (wa tatu kulia waliokaa)  na wanafunzi wenzie wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Tabora Boys Bw.  E.S Williams, mwaka 1942.  Mwalimu alizaliwa Aprili 13, 1922 na mwaka huu angekuwa na umri wa miaka 93.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS TUNAKUTAKIA HERI YA SIKU YA KUZALIWA LEO

Mfanyakazi wa Global Publishers, Mary Raphael akiwakatika pozi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Ikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Meneja Wake, Wema Asema Haya...

Meneja wa staa na mrembo  Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.

“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to...

 

10 years ago

Vijimambo

Leo tarehe 22 September ! Siku ya Kuzaliwa mwanamapinduzi Abdulrahman Mohamed Babu (RIP)


Komredi Professor Abdulrahaman Mohamed Babu alikuwa mwanasiasa,mwanamapinduzi msomi,mwandishi,mchumi, na ujamaa kwake ulikuwa ni mfumo wa maisha yake.
Tunapowataja na kukumbuka wakongwe wa siasa na wapambanaji waliosimama kidete kuhakikisha kuwa wafrika tuna jikomboa kutoka katika makucha ya ukoloni uwe mkongwe au ukoloni mambo leo,jina la marehem Abdulrahman Mohamed Babu (RIP)alitasahulika, ambaye kama angelikuwa hai leo tarehe 22 September ndio siku yake ya kuzaliwa.
Historia inatuelezea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani