Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Leteni majina ya madaktari watoa siri - Waziri

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, ametaka wananchi wenye ushahidi unaojitosheleza kuhusu madaktari na wauguzi wenye tabia ya kusambaza picha za wagonjwa katika mitandao ya kijamii na kutoa siri zao, wawasilishe majina yao wizarani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Majina ya wabunge ‘majangili’ siri kubwa

Utata umeibuka kuhusu wabunge waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuwa wanahusika na biashara ya pembe za ndovu.

 

5 years ago

Michuzi

MSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI

MSAJILI wa Baraza la Veterinari Tanzania, Dkt Bedan Masuruli amewataka Madaktari wa Mifugo nchini kuhuisha majina yao kwenye daftari la usajili wa madaktari wa mifugo kabla ya  Julai 1, 2020.

Akizungumza na jijini Dodoma leo,  Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.

"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...

 

5 years ago

Michuzi

Madaktari wa Kichina watoa mafunzo ya kinga na tiba ya ugonjwa wa corona Sudan

 Timu ya madaktari 35 wa Kichina wanaendelea na kampeni yao ya kutoa mafunzo mjini Khartoum, Sudan, juu ya jinsi ya kuepuka maambukizi ya virusi hatari vya corona na njia za kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi hivyo.

Maafisa zaidi ya 50 wa afya nchini Sudan wanashiriki katika zoezi hilo ambalo lengo lake kuu ni kuchukua hatua za haraka za kuzuia na kutibu ugonjwa huo hatari.

Mmoja wa madaktari hao kutoka China, Li Changhong, amesema kuwa, timu yake ina mawasiliano ya karibu...

 

10 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU JIJINI ARUSHA

MADAKTARI bingwa kutoka hospitali ya  SPS Apollo iliyopo  Ludhiananchini India wamewasili nchini na kuanza kutoa huduma ya ushauri burekwa magonjwa makubwa ambayo yamekuwa yakiwasumbua watu wengi nakuwalazimu  kwenda kutibiwa nchini India.
Akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha kutoa huduma kwamatibabu Arusha, Austin Makani alisema kuwa , madaktari bingwa haowanatoa ushauri kwa wagonjwa wenye matatizo ya Figo , Moyo, tumbo,saratani, mishipa ya fahamu, uti wa mgongo, upasuaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari kutoka Washington Diaspora Walioletwa na Jumuiya ya Watanzania DMV Watoa Hudua ya Afya Hospitali ya Mnazi Mmoja

Dr Nofali akizungumza na Ujumbe wa Madaktari kutoka Washington Diaspora walipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kutoa huduma ya Maradhi ya Saratani ya Matiti, Kisukari na Tiba ya Meno ukiwa na Ujumbe wa Watu 17, Wamefika Ofisi hapo kujitambulisha kwa Uongozi wa hospital Dr Nofali akizungumza na Madaktari hao walipofika Ofisini kujitambulisha wakiwa na wenyeji wao Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Diaspora Zanzibar Ukiongozwa na Mkurugezi wa Idara hiyo Ndg Adila Ujumbe wa Madaktari...

 

9 years ago

Vijimambo

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.

1Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali, mkaazi wa Kisauni. PICHA NA ABDALLA OMAR – MAELEZO ZANZIBAR. 2Dokta Fadhil Mohd ambae ni D0kta Dhamana Kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waadishi wa habari (hawapo pichani).
3 45
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.  

                   Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar 
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

MAJINA SAHIHI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa (Pichani)anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim Majaliwa Majaliwa au Kassim M. Majaliwa.
Tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa na uchanganyaji wa majina yake na hii ni kwa sababu tangu akiwa chuoni na jeshini, alikuwa akitanguliza kutaja ubini (jina la ukoo) na ndiyo maana ikawa inasomeka Majaliwa Kassim Majaliwa.
Endapo jina hilo litaanza kuandikwa na ubini, litapaswa kutenganishwa na koma kama ifuatavyo: Majaliwa,...

 

11 years ago

Habarileo

Waziri Chikawe ataka uharaka uwasilishaji majina ya wabunge

Mathias ChikaweWAKATI Rais Jakaya Kikwete kesho akitarajiwa kukabidhiwa Rasimu ya pili ya Katiba mpya, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe ameyataka makundi mbalimbali kuwasilisha haraka majina ya wanaopendekezwa kuingia kwenye Bunge la Katiba, ili Rais afanye uteuzi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani