Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LG matatani kuhusu faragha

Watumiaji wadai kuwa televisheni ya kisasa ya LG inafichua data ya faragha

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Urusi matatani kuhusu kuanguka kwa ndege

Mataifa ya magharibi yaitaka urusi kuyashinikiza makundi ya wapiganaji wanaounga mkono Urusi kuhusu eneo la mkasa wa ndege

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KUHARAKISHA FARAGHA-4

KUJIFUNZA hakuna ukomo. Ni vyema kujiwekea utaratibu wa kujifunza kila siku. Maana yake katika kujifunza huongeza maarifa. Ulichokuwa ukikifahamu jana, huenda leo ukajifunza kitu kingine tofauti. Hapa kwenye Love & Life tunajifunza mambo muhimu kuhusu maisha yetu. Vijana wa sasa wanaamini faragha huongeza na kuimarisha penzi. Jambo hili halina ukweli, kuna mambo mengi muhimu zaidi ya faragha ambayo yakifanywa huzidisha furaha ya...

 

9 years ago

GPL

MAMBO YANAYOFURAHISHA FARAGHA-2

KWANZA nianze kwa kuwashukuru wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa nchini kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani. Kwa uchaguzi huu nimejifunza kitu kuwa kumbe Watanzania tunu yetu kubwa tuliyojaliwa na Mungu ni amani, amani ndiyo imenifanya leo uweze kusoma mada hii ya mambo yanayofaa faragha Wiki iliyopita tulizungumzia kipengele kimoja cha sauti za kubembeleza leo nitaendelea na mambo mengine mazuri mnapokuwa faragha;...

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KUHARAKISHA FARAGHA-2

WENGI huamini kukutana faragha huzidisha mapenzi katika uhusiano. Inawezekana ni kweli lakini tendo hili huwa na ubora na maana zaidi ikiwa litafanywa na wanandoa. Kutokana na mabadiliko ya dunia, faragha imekuwa ni jambo la kawaida kabisa hata kwa wale ambao ni marafiki tu. Wanaofanya hivyo, huwa na imani kuwa wanawapagawisha wapenzi wao na kuwafanya wasifikirie kuwaacha. Tendo la ngono limekuwa jambo la kawaida. Ni jambo...

 

9 years ago

GPL

MAMBO YANAYOFURAHISHA FARAGHA

ASANTE Mwenyezi Mungu kwa Jumatatu hii murua. Baada ya vuta nikuvute ya uchaguzi mkuu, hatimaye jana Watanzania tumetumia haki yetu ya kimsingi na kikatiba kumchagua kiongozi tumtakaye atakayeiongoza Tanzania kwa awamu ya tano. Tukiachana na siasa, tunakutana tena katika kilinge chetu hiki kama ilivyo ada, bado tunaendelea kujifunza namna mbalimbali ya kufanya tunapokuwa faragha na wenza wetu. Kwa kifupi mada hii ya faragha...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wakosa faragha

SERIKALI imekiri kuwa baadhi ya askari Polisi na hata wa Magereza, hawana makazi yanayoridhisha hatua inayosababisha wazazi kukosa faragha wanayoihitaji katika jamii.

 

9 years ago

GPL

HESHIMA NI UWEZO WAKO WA FARAGHA

Mdau wa kona hii, mada ya wiki hii inazungumzia heshima ya mtu kwa mpenzi wake ni uwezo wake wa kumdhibiti mwenza wake wanapokuwa faragha. Kwa maana nyingine namaanisha kuteka hisia za mpenzi wako mnapokuwa kwenye dimbwi la mahaba. Mapenzi ni utundu Mapenzi yanahitaji ubunifu na utundu wa hali ya juu sana kwani sehemu kubwa ya heshima ya mwanadamu kwa mwenza wake inapatikana wakati wa faragha. Mapenzi usahaulisha shida
...

 

9 years ago

GPL

HESHIMA NI UWEZO WAKO WA FARAGHA-2

Karibu mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya XXLove tuendelee kupeana ‘maujuzi’ kwenye nyanja nzima ya uhusiano kwa jumla.  Wiki iliyopita tulianza mada yetu hii ambayo leo nawaletea maoni mbalimbali ya wasomaji walivyopokea mada yetu ya namna ya kuweka heshima kwa mwenzio ambayo hutokana na uwezo wako wa faragha unapokuwa na mwenza wako.
Kwanza nashukuru kwa wale wote waliopiga simu na kutuma ujumbe mfupi kwa kupongeza,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Faragha:Facebook yashtakiwa Ubelgiji

Uamuzi unaotaka mtandao wa facebook kufanya mabadiliko muhimu katika mazingira yake ya faragha nchini Ubelgiji umecheleweshwa huku nakala za mahakama zikitafsiriwa kiingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani