Ligi Kuu imekwisha, twasubiri kuona maajabu katika tuzoÂ
NI Jumatatu nyingine tulivu tunakutana katika safu hii kuhabarishana mambo kadha wakadha zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil kuanzia Juni 12...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.
TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE
Kagera Sugar – African Sports 16:00 EAT
Maji Maji – Azam 16:00 EAT
Mwadui – Ndanda 16:00 EAT
Prisons – Mtibwa...
10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
GPL
11 years ago
BBCSwahili16 Sep
Liverpool yarejea katika ligi kuu Ulaya
10 years ago
GPL
10 years ago
GPL
10 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo
ARSENAL YAIFUNGA HULL CITY BAO 3-1 KATIKA LIGI KUU ENGLAND




9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan
Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...