Lilian Kibo yachekelea matokeo
SIKU tatu baada ya serikali kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana, imeonekana shule binafsi za sekondari jijini Dar es Salaam, zinaongoza katika orodha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi10 May
DRFA YACHEKELEA TIMU ZAKE KUMALIZA TATU BORA LIGI KUU
Kamati ya utendaji ya DRFA chini ya mwenyekiti wake Almas Kasongo,imesema ni jambo la kufurahisha kuona mkoa wa Dar es salaam unafanya vizuri kisoka na kuwa mfano wa kuigwa kwa mikoa mingine.
Timu hizo zimepongezwa kutokana matayarisho waliyoyafanya tangu kuanza kwa msimu,ambapo mabenchi ya...
11 years ago
TheCitizen19 Jan
Spoilt for choice at the Kibo Palace
11 years ago
TheCitizen02 Mar
Kibo Palace raises Arusha’s profile
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Bia ya Kibo Gold yashinda tuzo
BIA ya Kibo Gold imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa katika sherehe za 53 za kila...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Banuelia bingwa Kibo Diabetes Awareness
MWANARIADHA Banuelia Bryton ameibuka mshindi wa mbio za hisani kutoa ujumbe dhidi ya ugonjwa wa kisukari, kilomita 8 (Kibo Diabetes Awareness 8 km Race) zilizofanyika mjini hapa jana. Banuelia ameshinda...
11 years ago
GPLLILIANI KIBO HIGH SCHOOL YA GOBA, DAR, YAFANYA MAHAFALI
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Lilian awashukuru Watanzania
NA MWANDISHI WETU
MREMBO aliyeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo ya dunia yaliyofanyika juzi Sanya nchini China, Lilian Kamazima, amewashukuru Watanzania kwa kumuunga mkono toka alipoanza safari yake ya urembo hapa nyumbani hadi kuingia kwenye kumi bora ya warembo wa dunia wenye mchango kwa jamii.
Akitoa shukrani zake, Lilian alisema licha ya kuwa mpweke ila sapoti ya Watanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii katika upigaji kura ulimfanya ajihisi yupo nyumbani na kuna watu...
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Lilian: Serikali iwatetee wanawake
MGOMBEA wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Lilian Wasira, ameitaka serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutambua kuwa waliwekwa madarakani na...