LINAH AJIWEKA KWA KAKA’AKE ZARI
![](http://api.ning.com:80/files/kZzo8PgK6ncfurr7tpA4-CyWAyD7ItAgolaz-Rhf694AsMMHwg4G2K*z6TcDV3i8W9h0A8UEQF*1jklXfghfzVUBPpBqjzn6/Linah.gif?width=650)
Musa Mateja MREMBO anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo. Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe jijini Dar hivi karibuni, paparazi wetu aliwaona wakiingia sambamba na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6DsD6-JLLV3OYwOnW8q22VJMNVb060JQcGZ5NXglUHDVNZn-OD-YGvjCj-fMr4BMvgKc**ey4EpeoR1ELNpWotd/linah.gif?width=650)
HATIMAYE KAKA’KE ZARI AMCHUMBIA LINAH!
10 years ago
Bongo530 Nov
Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl8wtwChnt1OalfND5crqiZ6FBxqxpNZN9Uq9G3weTH8zUEw4Cwj8Yi5-2Jht0FtLH3l4ZZNGRNi9apqde*gBTKE/wolper.jpg?width=650)
WOLPER AKATAA SHOBO KWA MCHUMBA ‘AKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZGGCrW1JrgjjBELhXhhdwKHmRNfs7Zp3UXDd4hT5yA2sUo*Y14u4RsTPUmXwcJwOTaU7bc45gig6hBtddI1O7dHB7IjMPGKT/2.jpg)
DOKII AJIWEKA KWA KOCHA WA YANGA
10 years ago
Mtanzania15 May
Drake ajiweka tena kwa Rihanna
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BAADA ya kuwa katika uhusiano kwa muda mfupi na kisha kuachana, mwana hip hop kutoka kundi la Young Money, Aubrey Graham ‘Drake’ na msanii Rihanna wanaelezwa kurudiana upya, baada ya kuonekana maeneo mbalimbali wakifurahia umoja wao.
Miaka miwili iliyopita Drake aligombana na Chris Brown baada ya msanii huyo kuwa na uhusiano na Rihanna, wakati akijua kwamba mwanadada huyo alikuwa na uhusiano na Chris.
Ukubwa wa mgogoro huo ulifikia kipindi walirushiana chupa wakiwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd662tJdsio-fgnigVfShxzK9cWxnAoO6QuEXPcbjgSDQug8g7tpoYkJFhFrqXHCAuvTY2W1b7mYZBJbZhr2ATiBrz/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: AJIWEKA KIMAPENZI KWA WYRE
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Waziri wa Afya ajiweka kitanzi kwa Magufuli