Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER AKATAA SHOBO KWA MCHUMBA ‘AKE

Na Mayasa Mariwata
THE Ijumaa Sexiest Girl 2012, Jacqueline Wolper amesema kuwa, ana imani kubwa na mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la G Modo akiamini atampoza machungu aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ huku akiwatahadharisha mashosti zake kutoleta shobo (kuwa mbali naye). Jacqueline Wolper. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wolper alisema anafikia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WOLPER AMTAMBULISHA MCHUMBA MPYA

Stori: IMELDA MTEMA
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kumuweka bayana mchumba wake wa sasa anayejulikana kwa jina la G. Modo baada ya kukaa kimya muda mrefu tangu alipoachana na Abdallah Mtoro ‘Dallas’. Jacqueline Wolper akiwa na mchumba wake wa sasa G. Modo. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Wolper alisema alikuwa kimya kwa muda mrefu kwa ajili ya kutafakari kwanza maana asingeweza...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

10 years ago

GPL

LINAH AJIWEKA KWA KAKA’AKE ZARI

Musa Mateja
MREMBO anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa  ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo. Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe  jijini Dar hivi karibuni, paparazi wetu aliwaona wakiingia sambamba na...

 

11 years ago

Michuzi

KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini


Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam.  Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana akataa kula kwa mwaka mmoja

Landon Jones mwenye umri wa miaka 12 ni kijana aliyepoteza hamu ya kula pamoja na ile ya kunywa kwa siku moja pekee.

 

11 years ago

GPL

MAUAJI SIKUKUU! MCHUMBA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU

Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake,Omary Idd Tukio hilo… ...

 

10 years ago

GPL

MENINAH KUMWANIKA MCHUMB’AKE

Stori: Andrew Carlos
BAADA ya kuandamwa na skendo kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, mkali wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’ amesema yuko mbioni kumtambulisha mchumba wake. Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’. Akipiga stori na gazeti hili, Meninah ambaye ni zao kutoka shindano la kuibua vipaji vya kuimba, Bongo Star Search...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani