MENINAH KUMWANIKA MCHUMB’AKE
![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu1z5NTlxXEnVg*e3S84T-4b86qVoyDl2T1BKVF5vP-MKFp0MUPIO7MHRaDnoxiXu8aFXlaDn9PSFSlA7rqWjZ8e/meninah.jpg?width=650)
Stori: Andrew Carlos BAADA ya kuandamwa na skendo kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, mkali wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’ amesema yuko mbioni kumtambulisha mchumba wake. Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’. Akipiga stori na gazeti hili, Meninah ambaye ni zao kutoka shindano la kuibua vipaji vya kuimba, Bongo Star Search...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qhYZ*v3nO1s9vpCMUeECB0unaN27s5zno4bdCF*Ym4e9WFSpFxhjMfpH3kGd1QE4vn4sB8SwPC1bo1MDGBruFHf/jb.jpg?width=650)
JB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE
BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi. Msanii maarufu wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’. JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe, hongera sana, Mungu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9wY6nHswW5S32LkgX2SmqWF8iU4OFEY6Mytn3NeEavPFCx8-56fhcbPMjUXQD8A7C8AaHW2W0Gc72cjfAy5Nw8oT0xDr*ft/1NISHANAMTOTO1.jpg)
NISHA ANANGWA KUMWANIKA MTOTO MWENYE UKIMWI
          Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akiwa na mtoto aliyemwanika laivu mitandaoni. Stori: Mwandishi Wetu
OOHOOO! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amenangwa kutokana na kitendo chake cha kumwanika laivu mtoto anayeishi na Virusi vya Ukimwi (VVU). Nisha akiwa kwenye baiskeli na mtoto huyo anayeishi na Virusi vya Ukimwi… ...
9 years ago
Bongo527 Aug
Dogo Janja: Naogopa kumwanika mpenzi wangu kwenye mitandao
Rapper wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema yeye ni miongoni mwa watu ambao hawawezi kuwaweka wazi wapenzi wao kwenye mitandao. Dogo Janja ameiambia Bongo5 kuwa kitu anachoogopa ni kuanza kutupiana maneno wakati wanapoachana. “Unajua mapenzi ya kwenye mitandao ukigombana tu na mpenzi wako au mkikosana, watu wataanza kutupiana maneno ingawa kwa watu wengine haitokei,” […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvOqVYUFqHIfsodsyAJqI1VH3ipAnWHjv8ig1z5B9Q5KoVb-y*0qDIYl9NuFu0sLP0XqQ85nBJfiUzDA423KaWV3/back.jpg)
BABA’AKE CHEKA AANGUA KILIO
NA DANSTAN SHEKIDELE/Morogoro WATOTO wa bondia bingwa wa dunia anayetambuliwa na shirikisho la WBE, Francis Cheka aliye gerezani, wamemliza babu yao, Boniface Cheka ambaye ni baba mzazi wa mwanamasumbwi huyo wakati alipowatembelea nyumbani kwao, kwa mara ya kwanza tangu kutolewa kwa hukumu hiyo wiki mbili zilizopita. Baba wa bondia Francis Cheka Boniface Cheka akiwa mwenye huzuni. Mzee huyo ambaye makazi yake yako Dar es Salaam...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39cWyx4MAGp4ipPMUSpGI1ipZtOns5T7DV7qTNE1N0hyhsqDa0tbWAkJufr-pMxroqrfj7-XGr6SSZYDfkouInS3/none.jpg?width=650)
BETHIDEI YAWAGOMBANISHA DAVINA, SHOSTI’AKE
Stori: Na Hamida Hassan SHEREHE ya bethidei ya msanii wa filamu Vivian Minza ambaye ni shosti wa Halima Yahya ‘Davina’ iliyofanyika Mei 1, mwaka huu imedaiwa kuwa ndiyo chanzo cha kuvunja urafiki wa wawili hao. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Imeelezwa kuwa kutofautiana kwao ni Davina kutokwenda katika sherehe hiyo, ili kujiridhisha na madai hayo, paparazi wetu alimtafuta Davina,...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_imGRabQYUc/VcaN8XrFbxI/AAAAAAAAC3g/_EYDnCFiK0s/s72-c/Screenshot_2015-08-08-18-02-20.png)
Mwamvita Makamba aumbuliwa mchana kweupee na X-bestfriend ake!
![](http://2.bp.blogspot.com/-_imGRabQYUc/VcaN8XrFbxI/AAAAAAAAC3g/_EYDnCFiK0s/s320/Screenshot_2015-08-08-18-02-20.png)
Ujumbe kwa wasichana na wadada wa Kitanzania: Ridhika na ulicho nacho. Msipende kuiga maisha ya IG wengi wanaishi maisha ya kufoji hayana huwalisia wowote. Na wale wadada ambao mnakatishwa tamaa na hizi fake life somo hili hapa! Wanasema ukiona vya elea juwa vimeundwa! Tatizo si kuelea tatizo ni nani aliye viunda?! Sasa nibora...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kZzo8PgK6ncfurr7tpA4-CyWAyD7ItAgolaz-Rhf694AsMMHwg4G2K*z6TcDV3i8W9h0A8UEQF*1jklXfghfzVUBPpBqjzn6/Linah.gif?width=650)
LINAH AJIWEKA KWA KAKA’AKE ZARI
Musa Mateja
MREMBO anayefanya poa kunako Bongo Fleva, Estelinah Sanga ‘Linah’, anadaiwa ‘kujiegesha’ kimahaba kwa shemeji yake Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye William Bugeme ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka wa Zarina Hassan ‘Zari’ kiukoo. Ndani ya Ukumbi wa Triple 7 uliyopo Kawe jijini Dar hivi karibuni, paparazi wetu aliwaona wakiingia sambamba na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl8wtwChnt1OalfND5crqiZ6FBxqxpNZN9Uq9G3weTH8zUEw4Cwj8Yi5-2Jht0FtLH3l4ZZNGRNi9apqde*gBTKE/wolper.jpg?width=650)
WOLPER AKATAA SHOBO KWA MCHUMBA ‘AKE
Na Mayasa Mariwata
THE Ijumaa Sexiest Girl 2012, Jacqueline Wolper amesema kuwa, ana imani kubwa na mpenzi wake wa sasa aliyemtambulisha kwa jina la G Modo akiamini atampoza machungu aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ huku akiwatahadharisha mashosti zake kutoleta shobo (kuwa mbali naye). Jacqueline Wolper. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wolper alisema anafikia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania