Lipumba awaponza kina Pinda, Chikawe
Sakata la kupigwa na kudhalilishwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na wafuasi wengine wa chama hicho, limeibua mapya, baada wabunge wa upinzani kuja juu wakitaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wawajibike au Bunge liwawajibishe.
Wengine, ambao wabunge wanataka wawajibike ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu, naibu wake (DIGP), Abdukrahman Kaniki, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Kesi ya kina Lipumba kusikilizwa Julai 29
KESI inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30, itasikilizwa siku tatu mfululizo kuanzia Julai 29, mwaka huu.
Kesi hiyo inasikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Cyprian Mkeha, ambapo itaanza kusikilizwa Julai 29 hadi 31.
Wakili wa Serikali Mkuu Tumaini Kweka, alidai mahakamani hapo jana kwamba, shauri lilipangwa kwa kutajwa na kwamba, lilikwisha kupangiwa tarehe ya kusikilizwa.
Washitakiwa watano katika kesi hiyo...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-92K8JMcefKg/Xl6U9xSwDqI/AAAAAAACIEM/HKvm_4s0y_Mw9MYkY326f47Cc6p_jqDdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA KINA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD,PROF LIPUMBA NA MBATIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-92K8JMcefKg/Xl6U9xSwDqI/AAAAAAACIEM/HKvm_4s0y_Mw9MYkY326f47Cc6p_jqDdwCLcBGAsYHQ/s320/1.jpg)
IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amefanya mazungumzo na...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Kina Mramba kuendelea kujitetea
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
PHD: Kina dada mniache
STAA wa filamu za Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’, amewataka kina dada wanaomtaka mahusiano ya kimapenzi kukaa mbali naye, kwani kwa sasa ameamua kutulia na mpenzi wake, na anatarajia kufunga ndoa....
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Kina Fuime washtakiwa upya
10 years ago
Mtanzania30 May
Kina Mramba kuhukumiwa Juni 30
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
HUKUMU ya kesi inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona na wenzao inatarajiwa kusomwa Juni 30, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Uamuzi huo ulifikiwa jana, mbele ya jopo la mahakimu watatu, likiongozwa na Jaji John Utamwa, baada ya kupangwa kwa tarehe za majumuisho ya mwisho wa kesi hiyo. Mahakimu wengine katika kesi hiyo ni Sam Rumanyika na Saul Kinemela.
Mbali na Mramba na Yona,...
10 years ago
Mwananchi30 May
Hukumu ya kina Mramba yaiva
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Chikawe: Tumefanikiwa
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Mgahawa wa kina Joti gumzo Sabasaba
MGAHAWA wa wasanii wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi (OK), umejipatia umaarufu mkubwa na kujizolea idadi kubwa ya watu, wanaohudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam...