Lipumba kama Lowassa
YALIYOTOKEA majuzi mjini Dodoma baada ya Kamati Kuu ya CCM kulikata jina la mgombea urais wake, Edward Lowassa, yanaelekea kuukumba Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
CCM ilikaribia kumeguka baada ya wanachama wake ‘wenye imani na Lowassa’ kushinikiza jina la kada huyo kurejeshwa kwenye kinyang’anyiro ndani ya NEC, kabla ya wazee wa chama kunusuru hali hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia gazeti hili mapema wiki hii, wanachama ‘ngangari’ wa CUF nao wamembana Mwenyekiti wa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE

Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...
10 years ago
Vijimambo
Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.



10 years ago
Habarileo10 Aug
Lowassa awapoza CUF kuondoka kwa Lipumba
MGOMBEA urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amewapa pole wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kwa mshituko wa kuondokewa na Mwenyekiti wao wa Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu, huku akiwataka kutovunjika moyo, bali waongeze mshikamano ili dhamira ya kuingia Ikulu iweze kutimia.
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Lowassa: Hakuna kama Edward Sokoine
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..
10 years ago
Vijimambo17 Sep
MCHUNGAJI MTIKILA AIBUKA NA KIHOJA HIKI LEO,NAYE AUNGANA NA LIPUMBA NA SLAA KUIMBA WIMBO WA LOWASSA,SOMA HAPO KUJUA
NA KAROLI VINSENTMWENYEKITI wa cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila ameibuka na kihoja pale alipowataka Watanzania siku ya kupiga kura tarehe 25 octoba mwaka huu kutoipigia kura kipengele cha Urais na wataka watanzaniakuwachagua wabunge na Madiwani peke yake,kwakuwa wagombea wote wa urais waliosiamishwa kwenye vyama vayo hawana uwezo wa kuliongoza taifa hili.Kauli ya hiyo ya Mchangaji Mtikila ameitoa leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ambapo...
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Ningemwona Lowassa shujaa kama angekimbilia msituni
EDWARD Ngoyayi Lowassa, ni miongoni mwa Watanzania wachache katika
10 years ago
Mtanzania10 Nov
Lowassa: Kiongozi awe na ngozi kama ya tembo

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa amesema viongozi wenye maono na wasioogopa kusemwa ndio wanaotakiwa katika dunia ya sasa.
Lowasa aliyasema hayo jana alipokuwa akizindua helkopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima na vitabu tisa vilivyoandikwa na Askofu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
“Hapa duniani kuna viongozi wa aina mbili, kuna viongozi ambao kazi yao ni kusimamia mahesabu na viongozi wenye...