Lipumba: Moyo wa Ukawa ni Wajumbe 14
Dar es Salaam. Wakati mchakato wa Katiba mpya unaendelea mjini Dodoma na suala la theluthi mbili likisumbua vichwa vya wengi, mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa kura za wajumbe 14 kutoka Zanzibar ndizo zitauokoa au kuukwamisha mchakato huo. Profesa Lipumba alikuwa kwenye mahojiano maalumu na Mwananchi nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kuhusu mustakabali wa mchakato wa Katiba baada ya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia kuhudhuria...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Lipumba: Moyo wetu Ukawa ni wajumbe 14
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gKY8URbH3Lk/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
Daily News08 Aug
UKAWA not shaken by Lipumba exit
Daily News
CIVIC United Front (CUF) has assured its members that the coalition for the main opposition parties (UKAWA) remains strong and will not wither despite the resignation of Prof Ibrahim Lipumba as the party's National Chairman. CUF Secretary General ...
10 years ago
TheCitizen21 Dec
Lipumba says Ukawa failed itself in civic polls
10 years ago
Daily News15 Jul
Lipumba absent as Ukawa leaders meet
Daily News
NATIONAL Civic United Front (CUF) Chairman Professor Ibrahim Lipumba was absent as the Coalition of Defenders of the People's Constitution, Ukawa, leaders met throughout the day to decide on their candidate for the Union presidential race.
10 years ago
Mwananchi30 May
Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Prof. Lipumba: UKAWA mgombea mmoja 2015
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa. Ibrahimu Lipumba, amevitaka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kumsimamisha mgombea mmoja wa urais ambaye atakishinda Chama cha Mapinduzi (CCM)...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Lipumba arejea, aapa kutounga mkono Ukawa