Lipumba: Moyo wetu Ukawa ni wajumbe 14
>Wakati mchakato wa Katiba mpya unaendelea mjini Dodoma na suala la theluthi mbili likisumbua vichwa vya wengi, mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa kura za wajumbe 14 kutoka Zanzibar ndizo zitauokoa au kuukwamisha mchakato huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii18 Aug
Lipumba: Moyo wa Ukawa ni Wajumbe 14
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wajumbe wamedhihirisha udhaifu wetu Watanzania
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
UKAWA kitanzini na mwandishi wetu
VIONGOZI na wanasiasa wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wametakiwa kutumia busara na kuyafanyiakazi maagizo ya viongozi wa dini ya kuwataka kurejea bungeni.
Pia wametakiwa wajitafakari wenyewe na kwamba hawastahili kubembelezwa wala kulazimishwa kuhusiana na kurejea bungeni kwani, wananchi ndio waliowatuma kufanyakazi hiyo na si vinginevyo.
Kauli hizo zilitolewa jana na wasomi na wanasiasa walipozungumza na gazeti hili kuhusu kauli iliyotolewa juzi na Makamu wa Rais wa Baraza la...
10 years ago
Daily News08 Aug
UKAWA not shaken by Lipumba exit
Daily News
CIVIC United Front (CUF) has assured its members that the coalition for the main opposition parties (UKAWA) remains strong and will not wither despite the resignation of Prof Ibrahim Lipumba as the party's National Chairman. CUF Secretary General ...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
Daily News15 Jul
Lipumba absent as Ukawa leaders meet
Daily News
NATIONAL Civic United Front (CUF) Chairman Professor Ibrahim Lipumba was absent as the Coalition of Defenders of the People's Constitution, Ukawa, leaders met throughout the day to decide on their candidate for the Union presidential race.
10 years ago
TheCitizen21 Dec
Lipumba says Ukawa failed itself in civic polls
10 years ago
Mwananchi30 May
Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa