Lipumba arejea, aapa kutounga mkono Ukawa
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba alirejea nchini jana jioni akitokea Kigali, Rwanda alikokwenda mara tu baada ya kujiuzulu wadhifa huo siku nane zilizopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-2q-7e_dnLKU/VapEuhmjw0I/AAAAAAAAWTo/muDEIV_egMQ/s72-c/5.jpg)
KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA
![](http://4.bp.blogspot.com/-2q-7e_dnLKU/VapEuhmjw0I/AAAAAAAAWTo/muDEIV_egMQ/s640/5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-u3OvjyRbCxE/VapEksThWbI/AAAAAAAAWTM/qz-FPT_yu9s/s640/4U.jpg)
11 years ago
Habarileo05 Mar
Lipumba amuunga mkono Sitta
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, amesema Mbunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta, ana sifa zote za kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Profesa Lipumba: Sitasahau siku polisi waliponivunja mkono
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
Daily News08 Aug
UKAWA not shaken by Lipumba exit
Daily News
CIVIC United Front (CUF) has assured its members that the coalition for the main opposition parties (UKAWA) remains strong and will not wither despite the resignation of Prof Ibrahim Lipumba as the party's National Chairman. CUF Secretary General ...
10 years ago
KwanzaJamii18 Aug
Lipumba: Moyo wa Ukawa ni Wajumbe 14
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Lipumba: Moyo wetu Ukawa ni wajumbe 14
10 years ago
Mwananchi30 May
Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa
10 years ago
TheCitizen21 Dec
Lipumba says Ukawa failed itself in civic polls