Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic atua Yanga, mguu mmoja

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic sasa ndiyo chaguo la kwanza la Yanga katika nafasi ya kocha mpya iliyoachwa na Ernie Brandts. Taarifa za uhakika zinasema tayari Yanga imetuma mtu afanye mazungumzo na kocha huyo raia wa Croatia ambaye anaonekana atawezana na mastaa wa Jangwani. Mtoa habari ameliambia Championi Jumatano, jana mchana kuwa Yanga wamemtuma mtu huyo kufanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Aendesha baiskeli kwa mguu mmoja

Christian Haettich ana mguu mmoja na mkono mmoja lakini ana kipaji cha hali ya juu. kuendesha baiskeli. Je anawezaje hilo?

 

9 years ago

Mwananchi

‘Nilitembea kutumia mguu mmoja miaka saba’

Unaweza kudhani mzaha, lakini ni kweli. Raphael Yusto (18), mkazi wa kijiji cha Ngogwa Halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga ni kijana mlemavu mwenye mguu mmoja na mkono mmoja aliyekuwa akisakata kabumbu.

 

11 years ago

GPL

Logarusic aichambua Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekishuhudia kikosi cha Yanga kwa dakika 90 wakati kikitoka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya KMKM lakini akaibuka na hoja mbili muhimu huku moja kati ya hizo akisema kocha wa kikosi hicho amemdanganya. Akizungumza na Championi Jumatatu, Logarusic, maarufu kwa jina la Loga, amesema ameiangalia Yanga ikicheza mchezo huo juzi Uwanja...

 

11 years ago

GPL

Logarusic aingia rada za Yanga

Kocha Zdravko Logarusic wa Simba. Na Mwandishi Wetu
YANGA imemjumuisha Kocha Zdravko Logarusic wa Simba katika idadi ya makocha inaowataka.
Habari za uhakika zimeeleza Yanga imemjadili kocha huyo na huenda ikafanya naye mazungumzo ili asitishe mkataba wake wa miezi sita Simba na kutua Jangwani. Ingawa viongozi wa Yanga wamekuwa wagumu kulizungumzia suala la kocha mpya baada ya kumtema Ernie Brandts, lakini Logarusic ni kati...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita

Wastara

Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.

Wastara

Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;

wastara mguu

“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.

Huyo ndio...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic ampa ulaji kocha Yanga

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamemsainisha mkataba wa miezi sita kocha wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana, Hans Van der Plujim.

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga mguu sawa

TIMU za Simba na Yanga zimetamba sasa zimeimarika baada ya wachezaji wao kurejea nchini wakitokea Ethiopia walikokuwa katika michuano ya Kombe la Chalenji. Wakizungumza kwa nyakati tofauti makocha wa timu hizo walisema wanaamini kuanzia leo wachezaji hao watakuwa wamejiunga na vikosi vyao na maandalizi yatakuwa yamekamilika.

 

11 years ago

GPL

Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani