Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic aingia rada za Yanga

Kocha Zdravko Logarusic wa Simba. Na Mwandishi Wetu
YANGA imemjumuisha Kocha Zdravko Logarusic wa Simba katika idadi ya makocha inaowataka.
Habari za uhakika zimeeleza Yanga imemjadili kocha huyo na huenda ikafanya naye mazungumzo ili asitishe mkataba wake wa miezi sita Simba na kutua Jangwani. Ingawa viongozi wa Yanga wamekuwa wagumu kulizungumzia suala la kocha mpya baada ya kumtema Ernie Brandts, lakini Logarusic ni kati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Logarusic aichambua Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekishuhudia kikosi cha Yanga kwa dakika 90 wakati kikitoka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya KMKM lakini akaibuka na hoja mbili muhimu huku moja kati ya hizo akisema kocha wa kikosi hicho amemdanganya. Akizungumza na Championi Jumatatu, Logarusic, maarufu kwa jina la Loga, amesema ameiangalia Yanga ikicheza mchezo huo juzi Uwanja...

 

11 years ago

GPL

Logarusic atua Yanga, mguu mmoja

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic sasa ndiyo chaguo la kwanza la Yanga katika nafasi ya kocha mpya iliyoachwa na Ernie Brandts. Taarifa za uhakika zinasema tayari Yanga imetuma mtu afanye mazungumzo na kocha huyo raia wa Croatia ambaye anaonekana atawezana na mastaa wa Jangwani. Mtoa habari ameliambia Championi Jumatano, jana mchana kuwa Yanga wamemtuma mtu huyo kufanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic ampa ulaji kocha Yanga

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamemsainisha mkataba wa miezi sita kocha wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana, Hans Van der Plujim.

 

11 years ago

GPL

Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...

 

11 years ago

GPL

WACHAWI WAANGUSHA RADA USIKU!

Stori: Waandishi Wetu
Rada na matunguri yanayosadikiwa kuangushwa usiku na wachawi kutoka angani vimezua tafrani la aina yake jirani na kanisa la kilokole, Risasi Jumamosi lina mzigo kamili. Mwinjilisti ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikagua vifaa vya wachawi baada ya kuangushwa. Tukio hilo la aina yake lilijiri usiku wa Mei 25, mwaka huu maeneo ya Tazara-Maghorofani, Dar hivyo kuibua hofu kubwa kwa wakazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?

Ni fedheha kubwa kwa Serikali kuwa na kigugumizi kila inapotakiwa kutoa maelezo au ufafanuzi kuhusu matumizi ya Sh73.6 bilioni zilizotengwa kununua vitabu na madawati kwa shule za msingi nchini. Suala hilo limekuwa kitendawili kutokana na ukweli kuwa, zaidi ya asilimia 60 ya madawati yaliyopangwa kununuliwa kwa ‘Chenji ya Rada’ hayakununuliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatoa kauli chenji ya rada

SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaysia yaomba data na rada ya ndege

Serikali ya Malaysia yaomba kupewa rada zaidi pamoja na data ya satelite ya ndege iliopotea.

 

11 years ago

Habarileo

Mushkeli vitabu vya chenji ya rada

SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani