WACHAWI WAANGUSHA RADA USIKU!
![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNzERRGGAmB8Sol3A0YAPRa*C4yq2X1iRxx-gLuhiHvbqg0maV*kNWEDl5Vq1RXFfp2XBHPl*qyxds9jQ2nsEGkR/BACKJUMAMOSI.jpg)
Stori: Waandishi Wetu Rada na matunguri yanayosadikiwa kuangushwa usiku na wachawi kutoka angani vimezua tafrani la aina yake jirani na kanisa la kilokole, Risasi Jumamosi lina mzigo kamili. Mwinjilisti ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikagua vifaa vya wachawi baada ya kuangushwa. Tukio hilo la aina yake lilijiri usiku wa Mei 25, mwaka huu maeneo ya Tazara-Maghorofani, Dar hivyo kuibua hofu kubwa kwa wakazi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Mar
England yataja wachawi wao
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Upungufu wa sumu waangusha bei ya pareto
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hdrOBk-NteuBPl2AEFX99GGkL7bq-a5RzMviF45KqRhMwcigh8u2L9DtFalHBUlZp7o0-As1k4sIy0ctoXQ0hje/2.jpg?width=650)
LULU AWAOGOPA WACHAWI KUTAJA BABA KIJACHO WAKE
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Lulu Awaogopa Wachawi Kutaja Baba Kijacho Wake
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wa GPL alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.
Tuvute subra tu, itafahamika.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/wopa-2.jpg)
WOLPER MUME WA MTU WAANGUSHA BONGE LA PATI!
11 years ago
GPLR.O.M.A, MO MUSIC, TUNDA MAN WAANGUSHA BONGE LA SHOO COCO
9 years ago
Bongo501 Nov
Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu
![Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid1-94x94.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox6kjRz25BEEC2ftQ7Eb*nEAPGFj3L3JLxvHpGsbW9vfWaOkL1GGIsqRsyzuKuiWIRv-LV70FYA134N9uh4ZEarD/kochayanga.jpg?width=650)
Logarusic aingia rada za Yanga
11 years ago
Habarileo23 Mar
Mushkeli vitabu vya chenji ya rada
SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.