Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu Awaogopa Wachawi Kutaja Baba Kijacho Wake

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.

Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wa GPL alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.   

Tuvute subra tu, itafahamika.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AWAOGOPA WACHAWI KUTAJA BABA KIJACHO WAKE

Imelda mtema
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAMWITA LULU MICHAEL UMRI WAKE NA UREMBO WAKE NI SHIIIIIDA


Inasemekana ndio kwanza atatimiza miaka 20 soon lakini ukimwangalia kwenye picha uzuri wake na urembo ni shida kwa umri wake je unafikiri ingekuwa vizuri kuwa mke au andelee tu kuwa pambo na watu wazidi kutokwa na udenda kuliwinda penzi lake?. Huyo ndiyo Lulu Michael aliemzawadia mama yake nyumba kama zawaidi ya birthday hakika ni mrembo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Baba Yangu ni Handsome!!

Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.

"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU MICHAEL Agoma kumtaja BABA wa Mimba yake ...Kisa Kuogopa KUROGWA

\lizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.

 

11 years ago

GPL

LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE

Stori: shakoor jongo
Kumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa yao ipo jikoni. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita jijini Dar, Lulu alisema kuwa kila kukicha lazima watu hao waibuke na jipya...

 

10 years ago

GPL

LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA

Stori: Mayasa Mariwata
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada. Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda. Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Anti Lulu Awatishia Wake za Watu

Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake. Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinamuonesha maumbile yake wanawake.

"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kuniyukana nikiweka picha zangu za Mungu alivoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Amkataa Bwana Wake Lulu

Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.

Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa nusu).Alisema kuwa anamshukuru Mungu kwani hadi hapo ilipofikia ikiwa inakaribia kumalizika ameijenga kwa nguvu zake na...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU Awashukia Baadhi ya “followers” Wake Wanaomdisi!!!

Mrembo na mwigizaji  Elizabeth Michael aka Lulu, mwenye “followers” zaidi ya laki tatu kwenye mtandao wa INSTAGRAM, leo ameibuka na kuwapa makavu baadhi ya followers wake ambao wamekuwa waki-mdis  eti aweki vitu vya maana….Lulu awambia…

“Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana nitatoa ushauri tu.....
1.hiyo button Ya Ku follow Cdhani kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani