Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic aichambua Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekishuhudia kikosi cha Yanga kwa dakika 90 wakati kikitoka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya KMKM lakini akaibuka na hoja mbili muhimu huku moja kati ya hizo akisema kocha wa kikosi hicho amemdanganya. Akizungumza na Championi Jumatatu, Logarusic, maarufu kwa jina la Loga, amesema ameiangalia Yanga ikicheza mchezo huo juzi Uwanja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mzimbabwe aichambua Yanga SC

Kocha wa Platinum ya Zimbabwe, Norman Mapeza ametangaza vita jijini Dar es Salaam atakapotua na kikosi chake kuikabili Yanga, Jumapili katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Al Ahly aichambua Yanga

Kocha Msaidizi wa Al Ahly, Ahmed Ayoub ameichambua Yanga kwa kusema ni timu bora katika kushambulia, lakini si nzuri kwenye safu ya ulinzi.

 

11 years ago

GPL

Logarusic aingia rada za Yanga

Kocha Zdravko Logarusic wa Simba. Na Mwandishi Wetu
YANGA imemjumuisha Kocha Zdravko Logarusic wa Simba katika idadi ya makocha inaowataka.
Habari za uhakika zimeeleza Yanga imemjadili kocha huyo na huenda ikafanya naye mazungumzo ili asitishe mkataba wake wa miezi sita Simba na kutua Jangwani. Ingawa viongozi wa Yanga wamekuwa wagumu kulizungumzia suala la kocha mpya baada ya kumtema Ernie Brandts, lakini Logarusic ni kati...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic ampa ulaji kocha Yanga

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamemsainisha mkataba wa miezi sita kocha wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana, Hans Van der Plujim.

 

11 years ago

GPL

Logarusic atua Yanga, mguu mmoja

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic sasa ndiyo chaguo la kwanza la Yanga katika nafasi ya kocha mpya iliyoachwa na Ernie Brandts. Taarifa za uhakika zinasema tayari Yanga imetuma mtu afanye mazungumzo na kocha huyo raia wa Croatia ambaye anaonekana atawezana na mastaa wa Jangwani. Mtoa habari ameliambia Championi Jumatano, jana mchana kuwa Yanga wamemtuma mtu huyo kufanya...

 

11 years ago

GPL

Logarusic avunja mazoezi Simba, aifuata Yanga Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic amelazimika kubadili ratiba ya mazoezi ya kikosi chake, kikubwa ni kuifuata Yanga itakayovaana na KMKM kesho Jumamosi. Akizungumza na Championi Ijumaa, Logarusic, raia wa Croatia, amesema atakuwepo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, kuiangalia Yanga itakapokuwa ikiumana na KMKM ya Zanzibar katika mchezo huo wa kirafiki ambapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Nigeria aichambua Ngorongoro

>Kocha wa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria chini ya Miaka 20, Manu Garba, amewachunguza wachezaji wa  timu ya taifa ya Tanzania ya umri huo (Ngorongoro) na kusema kuwa wana tatizo la kukosa nidhamu ya mchezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Humud amtega Logarusic

Kiungo mkabaji wa Simba, Abdullahim Humud amesema kuwa ipo siku ataaminika na kukubalika na kupewa nafasi kwenye kikosi cha kwanza Mcroatia, Zdravko Logarusic.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani