LORI LAFELI BREKI NA KWENDA KUPARAMIA PRADO
Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 255 CRN na lililokuwa na Tela lenye namba za usajili T 478 BCG likiwa limefunga njia baada ya kufeli breki lilipo kuwa kwenye njia kubwa katika eneo la Mbezi Mwisho, Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Dereva wa Lori hilo aliejitambulisha kwa jina moja la Bw. Sendegwa, alisema kuwa alianza safari yake ya kutoka Mkoani Singida akiwa vizuri kabisa na alipofika maendeo ya Kibamba alihisi gari yake kupoteza upepo lakini kwa wakati huo alikuwa kwenye mwendo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Jun
MAJANGA TENA IRINGA: DEREVA NA UTINGO WAJIIBIA MALI WALIZOKUWA WAKISAFIRISHA KWENDA KONGO,WACHOMA LORI LILILOKUWA NA MZIGO HUO
11 years ago
GPLLORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE
10 years ago
GPLWEMA JIFUNZE KUWEKA BREKI MDOMONI
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Baridi yagandisha breki za ndege Siberia
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
9 years ago
Bongo515 Sep
Baada ya kununua Prado, Nay wa Mitego asema ‘kinachofuata ni Range Rover’
9 years ago
GPLDALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziDALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua
Blogger Maggid Mjengwa.
Ndugu zangu,
Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.
Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.
Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...