Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aionya Serikali

lowasaNA MWANDISHI WETU

ALIYEKUWA mgombea urais wa Chadema chini ya mwavuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, amezitahadharisha mamlaka mbalimbali kuacha kuwaandama wafanyabiashara na wananchi waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba, mwaka jana.

Lowassa ametoa tahadhari hiyo wakati akitoa salamu za Mwaka Mpya kwenye ibada ya shukrani iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Ushirika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mbasa aionya serikali

MBUNGE wa Bihalamuro, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), amesema kamwe serikali haiwezi kufanya jambo lolote la maana kama itashindwa kuongeza pensheni za wazee na kuwalipa kwa wakati. Dk. Mbasa alitoa kauli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wako aionya serikali Katiba mpya

MWANASHERIA Mkuu wa Kenya, Amos Wako, amesema machafuko katika mchakato wa kuandika Katiba hujitokeza pale serikali inapotaka kuteka nyara maoni ya wananchi. Wako alitoa changamoto hiyo kwa wajumbe wa Bunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Lunyamila aionya Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila amewaonya Wanayanga wanaoanzisha malumbano na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji kuwa makini wasisababishe vurugu.

 

11 years ago

Mwananchi

Butiku aionya CCM

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa kipo hatarini kupoteza madaraka katika uchaguzi mkuu ujao, iwapo kitafanya makosa na kuendekeza ubinafsi na utawala wa kiimla unaotokana na utamaduni wa rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aionya korea kazkazini

Rais Barrack Obama wa Marekani asema kuwa Korea Kazkazini imekubali kuchagua sera ya mapambano dhidi ya jamii ya kimataifa

 

10 years ago

Mwananchi

Kada aionya CCM urais

Zanzibar. Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar Hassan Mussa Takrima (72) ameionya CCM kuwa itakuwa katika hatari ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu kama kitasimamisha “mgombea mwepesi, asiye na mvuto na asiyekubalika kwa wananchi”.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo ni Lowassa au serikali?

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amerudia wito wake wa kuitaka serikali kutafuta ufumbuzi wa kuboresha elimu nchini, akisema iko hoi kiasi cha kuzalisha wataalam wasioajirika. Lowassa ambaye pia ni mbunge...

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete aionya polisi matumizi ya nguvu

jkNa Asifiwe George, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuacha kutumia nguvu kupita kiasi kwa wananchi wakati linapotekeleza majukumu yake ya kazi.
Pia amelitaka kuwa makini kutokana na nchi kukabiliwa na mambo matatu muhimu ya uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapigakura, kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu.
Rais Kikwete aliyasema hayo Dar es Salaam jana alipofunga mafunzo ya uongozi katika ngazi ya urakibu katika Chuo Cha Taaluma ya Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani