Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Butiku aionya CCM

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa kipo hatarini kupoteza madaraka katika uchaguzi mkuu ujao, iwapo kitafanya makosa na kuendekeza ubinafsi na utawala wa kiimla unaotokana na utamaduni wa rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Butiku kuishtaki CCM

Joseph ButikuNA WAANDISHI WETU

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Serikali imesusia maadhimisho ya 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Hali hiyo imejidhihirisha jana baada ya MTANZANIA kutembelea yaliyokuwa makazi ya Mwalimu Nyerere, Msasani Dar es Salaam na kutokuta chochote kilichokuwa kikifanyika kama sehemu ya maadhimisho hayo.

Licha ya kutokuta dalili yoyote ya maadhimisho hayo, nyumbani hapo kulikuwa na watoto waliokuwa wakifanya usafi.

Waandishi wetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Kada aionya CCM urais

Zanzibar. Mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar Hassan Mussa Takrima (72) ameionya CCM kuwa itakuwa katika hatari ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu kama kitasimamisha “mgombea mwepesi, asiye na mvuto na asiyekubalika kwa wananchi”.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aionya CCM uteuzi wa wagombea

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezitaka ngazi mbalimbali za uteuzi wa wagombea wa CCM kuwapa wananchi nafasi kuchagua watu wanaowataka ili kuepuka kupoteza viti katika uchaguzi.

 

10 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

10 years ago

Mwananchi

Butiku: CCM ililea mtandao unaoitesa

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeulea mtandao wa watu wasiopungua 10 ambao unaendelea kukitesa ndani na nje.

 

10 years ago

Mwananchi

Butiku: Viongozi CCM magwiji wa kuvunja Katiba

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema nchi inaongozwa na Katiba, lakini inashangaza viongozi wa chama chake cha CCM na vingine ndiyo wanaongoza kwa kuvunja sheria na taratibu.

 

11 years ago

Mwananchi

MJADALA: Kasaka, Butiku: Sera ya CCM ni Serikali mbili kwenda moja

>Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joseph Butiku na Njelu Kasaka wamesema kuwa msimamo wa chama hicho uliotokana na vikao vyake ni kuelekea Serikali moja na siyo kama kinavyoshikilia sasa kuendelea na Muundo wa Serikali Mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Lunyamila aionya Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Edibily Lunyamila amewaonya Wanayanga wanaoanzisha malumbano na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji kuwa makini wasisababishe vurugu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mbasa aionya serikali

MBUNGE wa Bihalamuro, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), amesema kamwe serikali haiwezi kufanya jambo lolote la maana kama itashindwa kuongeza pensheni za wazee na kuwalipa kwa wakati. Dk. Mbasa alitoa kauli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani