Butiku: CCM ililea mtandao unaoitesa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeulea mtandao wa watu wasiopungua 10 ambao unaendelea kukitesa ndani na nje.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Butiku kuishtaki CCM
NA WAANDISHI WETU
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Serikali imesusia maadhimisho ya 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Hali hiyo imejidhihirisha jana baada ya MTANZANIA kutembelea yaliyokuwa makazi ya Mwalimu Nyerere, Msasani Dar es Salaam na kutokuta chochote kilichokuwa kikifanyika kama sehemu ya maadhimisho hayo.
Licha ya kutokuta dalili yoyote ya maadhimisho hayo, nyumbani hapo kulikuwa na watoto waliokuwa wakifanya usafi.
Waandishi wetu...
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Butiku aionya CCM
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Butiku aunga mkono wanaohama CCM
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.
Alisema makada hao walichelewa kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.
Butiku aliyasema hayo alipotoa mada kwenye mdahalo wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.
Alisema CCM ni sawa na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.
Butiku...
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Butiku: Viongozi CCM magwiji wa kuvunja Katiba
11 years ago
Mwananchi03 Aug
MJADALA: Kasaka, Butiku: Sera ya CCM ni Serikali mbili kwenda moja
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Mtandao una nguvu kuivusha, kuiadhiri CCM 2015 ?
NI takriban mwaka mmoja umesalia kabla ya kipyenga cha kuanza mchakato wa kusaka jina la mwana CCM atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani. Ni ukweli usiopingika kuwa...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Butiku amwomba JK alisitishe Bunge
9 years ago
Habarileo17 Aug
Butiku afichua siri ya Lowassa
WAKATI hekaheka za kuondoka kwa Edward Lowassa kuingia Chadema zikiwa bado zina mjadala mkali, jana Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), Joseph Butiku ametoboa siri iliyokaa takribani miongo mitatu ya kundi la mtandao na mashtaka dhidi ya Lowassa yaliyofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi.
10 years ago
Mtanzania03 Nov
Butiku: Hii ni siku ya aibu
Baada ya vurugu hizo kuisha Jaji Warioba hakurejea na badala yake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, alisimama na kuiita siku ya aibu kwa Watanzania.
Alisema tukio la vurugu ndani ya ukumbi wa mdahalo huo limeshuhudiwa na Watanzania nchi nzima.
“Baadhi ya wahuni waliofanya tukio hilo tunawatambua hivyo katika mikutano yetu ijayo hatutawaruhusu kushuhudia midahalo yetu,” alisema.
Butiku alisema kuwa tukio hilo halitakuwa mwisho wa kuendelea kwa midahalo ya...