Butiku: Hii ni siku ya aibu
Baada ya vurugu hizo kuisha Jaji Warioba hakurejea na badala yake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, alisimama na kuiita siku ya aibu kwa Watanzania.
Alisema tukio la vurugu ndani ya ukumbi wa mdahalo huo limeshuhudiwa na Watanzania nchi nzima.
“Baadhi ya wahuni waliofanya tukio hilo tunawatambua hivyo katika mikutano yetu ijayo hatutawaruhusu kushuhudia midahalo yetu,” alisema.
Butiku alisema kuwa tukio hilo halitakuwa mwisho wa kuendelea kwa midahalo ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Hii ni aibu ya Bunge la Katiba
NIMESHAWISHIKA kuandika mtazamo huu kutokana na kushindwa kuwaelewa watu wanaoitwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Sina shaka na Rais Jakaya Kikwete kuwateua wajumbe hao, lakini kwa matendo yao nalazimika...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Aibu hii Dar mpaka lini?
TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.
Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.
Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Kwa aibu kama hii, mawaziri wabaki ofisini?
SERIKALI ya Tanzania imepata aibu kutokana na kutafunwa kwa sh milioni 644 za nchi sita za wahisani zilizotolewa kugharamia awamu ya pili ya Mpango wa Maboresho ya Serikali za Mitaa...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Wanawake watumie siku hii kutathmini mafanikio
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0Jjbkue7rZ*4uSKjPOi*0ylY*dZ8-zQXu0QVLvoAYBQjCstuP6s95RitFGMbjcCEevhPcB06h6EF55ejvywB5M90ur/BongoBillboard280cmx380cm2.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Butiku aionya CCM
10 years ago
Mtanzania15 Oct
Butiku kuishtaki CCM
NA WAANDISHI WETU
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Serikali imesusia maadhimisho ya 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Hali hiyo imejidhihirisha jana baada ya MTANZANIA kutembelea yaliyokuwa makazi ya Mwalimu Nyerere, Msasani Dar es Salaam na kutokuta chochote kilichokuwa kikifanyika kama sehemu ya maadhimisho hayo.
Licha ya kutokuta dalili yoyote ya maadhimisho hayo, nyumbani hapo kulikuwa na watoto waliokuwa wakifanya usafi.
Waandishi wetu...